Pole sana..huyo ndo mkeo uliopewa na Mungu
Tutake radhi, hakuna amuombae Mungu mkate akapewa jiwe.Pole sana..huyo ndo mkeo uliopewa na Mungu
Na mm ndo nilimshauri maana ilikuwa ni aibuYani pesa ya awali ameilipa bila kujua zilizokopwa zilifanyia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli alijitahidi,nawafahamu sana toka muda sema nje kabadirika sidhani kama alikuwa hiviKwanza inaonesha huyo jamaa wakati anachumbia huyo bidada hakujipa mda mrefu wa kumchunguza. Yeye kawahi kufunga nae ndoa tu, sasa itabidi imgarim ukwepaji uchunguzi.... Na asimwache mke kwasababu ana watoto nae Ila achunguze tena hela anazifanyia nini, akipata jibu atapata tiba pia.....
Wanaume chunguzeni hawa wanawake wenye vihela chanzo chake ni nini kabla hujamwoa usikurupuke tu. Baadae utashangaa umemwoa kimada wa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app