Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,028
- 54,321
Uno Uno UnoYaani hizi siku 2 tu baada ya kuhamia huko kwa MATAGA tayari Halima ameshakua rafiki wa Gwajiboy?Maana hio mistari ya dini dizaini kama vile kapewa na Gwajiuno akaisome kwny Press.
Uno Uno UnoYaani hizi siku 2 tu baada ya kuhamia huko kwa MATAGA tayari Halima ameshakua rafiki wa Gwajiboy?Maana hio mistari ya dini dizaini kama vile kapewa na Gwajiuno akaisome kwny Press.
Madanga ya kisiasa,katika ubora wake,Nafikiri ujumbe umefika.
Kumbe taarabu zilikuwepo tangu kaleZABURI 35
Kuomba msaada
(Zaburi ya Daudi)
1 Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga;
uwashambulie hao wanaonishambulia.
2 Utwae ngao yako na kingio lako,
uinuke uje ukanisaidie!
3 Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia.
Niambie mimi kwamba utaniokoa.
4 Waone haya na kuaibika,
hao wanaoyanyemelea maisha yangu!
Warudishwe nyuma kwa aibu,
hao wanaozua mabaya dhidi yangu.
5 Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo,
wakikimbizwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
6 Njia yao iwe ya giza na utelezi,
wakifukuzwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
7 Maana walinitegea mitego bila sababu;
walinichimbia shimo bila kisa chochote.
8 Maangamizi yawapate wao kwa ghafla,
wanaswe katika mtego wao wenyewe,
watumbukie humo na kuangamia!
9 Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu;
nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.
10 Nitamwambia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote:
“Wewe ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe!
Wewe wawaokoa wanyonge makuchani mwa wenye nguvu,
maskini na fukara mikononi mwa wanyanganyi.
11 Mashahidi wakorofi wanajitokeza;
wananiuliza mambo nisiyoyajua.
12 Wananilipa mema yangu kwa mabaya;
nami binafsi nimebaki katika ukiwa.
13 Lakini wao walipokuwa wagonjwa,
mimi nilivaa magunia kuonesha huzuni;
nilijitesa kwa kujinyima chakula.
Nilisali nikiwa nimeinamisha kichwa,
14 kana kwamba namlilia rafiki au ndugu yangu.
Nilikwenda huko na huko kwa huzuni,
kama mtu anayeomboleza kifo cha mama yake.
15 Lakini mimi nilipoanguka walikusanyika kunisimanga.
Walikusanyika pamoja dhidi yangu.
Watu nisiowajua walinirarua bila kukoma,
wala hakuna aliyewazuia.
16 Watu ambao huwadhihaki vilema,
walinisagia meno yao kwa chuki.
17 Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini?
Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao;
uyaokoe maisha yangu na simba hao.
18 Hapo nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu;
nitakutukuza kati ya jumuiya kubwa ya watu.
19 Usiwaache maadui hao wabaya wanisimange,
hao wanichukiao bure wafurahie mateso yangu.
20 Maneno wasemayo si ya amani,
wanazua maneno ya hila dhidi ya wananchi watulivu.
21 Wananishtaki kwa sauti:
“Haya! Haya! Tumeona wenyewe uliyotenda!”
22 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo,
usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu,
usikae mbali nami.
23 Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukanitetee;
uje, ee Mungu wangu, uangalie kisa changu.
24 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee,
ufanye kulingana na uadilifu wako;
usiwaache maadui zangu wanisimange.
25 Usiwaache wajisemee: “Tumefanikiwa tulivyotaka!”
Au waseme: “Tumemmaliza huyu!”
26 Waache hao wanaofurahia maafa yangu,
washindwe wote na kufedheheka.
Hao wote wanaojiona wema kuliko mimi,
waone haya na kuaibika.
27 Lakini wanaotaka kuona kuwa sina hatia,
wapaaze sauti kwa furaha waseme daima:
“Mwenyezi-Mungu ni mkuu mno!
Hupendezwa na fanaka ya mtumishi wake.”
28 Hapo nami nitatangaza uadilifu wako;
nitasema sifa zako mchana kutwa.
Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki -1995, 2001: kwa Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.
Salimu Mwalimu ajue asijue cha msingi waasi hao walipaswa kutoa maelezo kwanini wameapishwa gereji bila idhini ya chama kwa mujibu wa katiba ya Chadema??sawa, wanachama mko tayari kwa lolote, je, viongozi wenu wako tayari kwa lolote? hivi kweli Salim Mwalim alikuwa hajui mke wake Esther Matiko anaenda kuapishwa? kwenye lile kundi la akina mdee kuna wajumbe wa kamati kuu wana uhusiano wa karibu, usijidanganye walikuwa hawajui kinachoendelea......wakina halima watasamehewa na wataendelea na ubunge wao
Unahukumu watu ambao hata hujawasikiliza utetezi wao.Madanga ya kisiasa,katika ubora wake,
Wakati wa conference yao,ester Matiko,uso umejaa majonzi matupu,pesa ya laana inautesa moyo wake,
Hujajibu swali langu.Narudia tena kukuuliza,kama ni chadema walichapisha kura fake kwa nini hawajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?Sawa ukisemacho, lakini hao Chadema walizikamata Kwa Nani hizo kura mkuu
Ni walimtaja Nani waliyemkuta nazo?
CCM siyo mafala kiasi hicho waibe kura kwenye masanduku watembee nayo. huu ulikuwa plan 'B' ya Halima. hata km walipiga si kwa style hiyo. CDM ilipeleka mawakala bila kuwapa posho, bila kufanya uhakiki km siyo makada wa CCM, hapo ndiyo mchezo yote hufanyika kila mwaka lkn siyo kutembea na masanduku, hatuibaki hivo.Hii dhambi ambayo umeitenda kwenye jimbo lako umeshaitubu kwa wananchi wako?View attachment 1639057View attachment 1639062View attachment 1639063
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni Mdee alichapisha kura fake kwa nini hajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?CCM siyo mafala kiasi hicho waibe kura kwenye masanduku watembee nayo. huu ulikuwa plan 'B' ya Halima. hata km walipiga si kwa style hiyo. CDM ilipeleka mawakala bila kuwapa posho, bila kufanya uhakiki km siyo makada wa CCM, hapo ndiyo mchezo yote hufanyika kila mwaka lkn siyo kutembea na masanduku, hatuibaki hivo.
Hivi unamfahamu Halima, unamuona mtoto siyo? Halima amekaa kwenye game ya uchaguzi miaka 10, anajua kila mbinu, tuulize sisi tunaoishi jimbo lake, sema Halima alijisahau sana, kwa sababu Gwajima asingetoboa. wananchi walishamchoka.Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni Mdee alichapisha kura fake kwa nini hajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
Huo mstari wa 12 ndio unamuhukumu kwa maamuzi yake umwbeba vyote vinavyoendele juu yakeZABURI 35
Kuomba msaada
(Zaburi ya Daudi)
1 Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga;
uwashambulie hao wanaonishambulia.
2 Utwae ngao yako na kingio lako,
uinuke uje ukanisaidie!
3 Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia.
Niambie mimi kwamba utaniokoa.
4 Waone haya na kuaibika,
hao wanaoyanyemelea maisha yangu!
Warudishwe nyuma kwa aibu,
hao wanaozua mabaya dhidi yangu.
5 Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo,
wakikimbizwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
6 Njia yao iwe ya giza na utelezi,
wakifukuzwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
7 Maana walinitegea mitego bila sababu;
walinichimbia shimo bila kisa chochote.
8 Maangamizi yawapate wao kwa ghafla,
wanaswe katika mtego wao wenyewe,
watumbukie humo na kuangamia!
9 Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu;
nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.
10 Nitamwambia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote:
“Wewe ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe!
Wewe wawaokoa wanyonge makuchani mwa wenye nguvu,
maskini na fukara mikononi mwa wanyanganyi.
11 Mashahidi wakorofi wanajitokeza;
wananiuliza mambo nisiyoyajua.
12 Wananilipa mema yangu kwa mabaya;
nami binafsi nimebaki katika ukiwa.
13 Lakini wao walipokuwa wagonjwa,
mimi nilivaa magunia kuonesha huzuni;
nilijitesa kwa kujinyima chakula.
Nilisali nikiwa nimeinamisha kichwa,
14 kana kwamba namlilia rafiki au ndugu yangu.
Nilikwenda huko na huko kwa huzuni,
kama mtu anayeomboleza kifo cha mama yake.
15 Lakini mimi nilipoanguka walikusanyika kunisimanga.
Walikusanyika pamoja dhidi yangu.
Watu nisiowajua walinirarua bila kukoma,
wala hakuna aliyewazuia.
16 Watu ambao huwadhihaki vilema,
walinisagia meno yao kwa chuki.
17 Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini?
Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao;
uyaokoe maisha yangu na simba hao.
18 Hapo nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu;
nitakutukuza kati ya jumuiya kubwa ya watu.
19 Usiwaache maadui hao wabaya wanisimange,
hao wanichukiao bure wafurahie mateso yangu.
20 Maneno wasemayo si ya amani,
wanazua maneno ya hila dhidi ya wananchi watulivu.
21 Wananishtaki kwa sauti:
“Haya! Haya! Tumeona wenyewe uliyotenda!”
22 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo,
usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu,
usikae mbali nami.
23 Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukanitetee;
uje, ee Mungu wangu, uangalie kisa changu.
24 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee,
ufanye kulingana na uadilifu wako;
usiwaache maadui zangu wanisimange.
25 Usiwaache wajisemee: “Tumefanikiwa tulivyotaka!”
Au waseme: “Tumemmaliza huyu!”
26 Waache hao wanaofurahia maafa yangu,
washindwe wote na kufedheheka.
Hao wote wanaojiona wema kuliko mimi,
waone haya na kuaibika.
27 Lakini wanaotaka kuona kuwa sina hatia,
wapaaze sauti kwa furaha waseme daima:
“Mwenyezi-Mungu ni mkuu mno!
Hupendezwa na fanaka ya mtumishi wake.”
28 Hapo nami nitatangaza uadilifu wako;
nitasema sifa zako mchana kutwa.
Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki -1995, 2001: kwa Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.
Nauliza tu hivi hizi picha Dr Mahela aliwahi kuziona maana zinadhihirisha uchaguzi ulio huru na haki ulivyo.Hii dhambi ambayo umeitenda kwenye jimbo lako umeshaitubu kwa wananchi wako?View attachment 1639057View attachment 1639062View attachment 1639063
Kwa kweli kamwaga ugali naona nawe umemwaga mboga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mwambie naye asome ZABURI 1: 1 - 6.
1.Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
2.Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
3.Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
4.Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
5.Kwa hiyo wasio haki hawatasimama hukumuni,
Wala wakosaji katika kusanyiko la wenye haki.
6.Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
Kuvuta kavuta sema amesanda njianiAseme kavuta ngapi. Maana Hakuna aungae juhudi bure