Other factors remain constant,uko sahihi sana cha muhimu amani ya Moyo...Huyo mwenye uso ndo wakuoa huyo mwenye sura niwakuchezea other factor remain constant
hao wenye uso wanakuaga royal sana....alafu engine zinakuwa bado nzima kabisa
Dah! Kila mmoja na chaguo lake maswala ya kuota kukabwa,kukimbizwa,kupigwa nitabaki nayasikia kwenuOther factors remain constant,uko sahihi sana cha muhimu amani ya Moyo...
Ila Hugo mwenye USO anaonyesha ndiye mwenye tabasamu linaloashiria ana furaha maishani.Sura
View attachment 1236712
Uso
View attachment 1236714
Kama ulishawahi kuambiwa una uso mzuri jitafakari...
Joke
Na maswala ya kulialia umechapiwa mara unapika, mara mshahara hautoshi, mara mke wangu jeuri tutayasikia kwakoDah! Kila mmoja na chaguo lake maswala ya kuota kukabwa,kukimbizwa,kupigwa nitabaki nayasikia kwenu
unaelewa maana ya royal??hao wenye uso wanakuaga royal sana....alafu engine zinakuwa bado nzima kabisa
Dooh. Huu nao pia ni Uso Mkuu.