Hii ndo tofauti ya sura na uso

Sijui kutuma kwenye crome toka ipad Wenzio wangekuwepo wangekutumia mimi ni maimuna.
Sawa mke usietaka mume acheke!😜 Na kwa taarifa yako nimepata mke wa pili!! Picha yake ni hi..
FB_IMG_15716770717437431.jpg
 
Nimesikitika ila nitaenda shure ili nikutumie picha nzuri uache kuhangaika na hao. Mimi kigori mzee miaka 60 si haba ila ukiniona utanichumbia mara kumi. hahahahha
~We mtoto ngoja niweke lipsticks ila saa hivi nina kikao saa kumi za kwetu nitakuja baadaye tuyamalize. Achana nao hao mimi ni fit kwa mdomo lakini siyo kwa vyote. hahahaha. Bibi bibi bibi huyo.
 
Nimesikitika ila nitaenda shure ili nikutumie picha nzuri uache kuhangaika na hao. Mimi kigori mzee miaka 60 si haba ila ukiniona utanichumbia mara kumi. hahahahha
😍😍 Afadhali matishio yangu yamefanya kazi..
 
Hahahah umenikumbusha mbali man,kuna mshikaji mmoja alikuwa Moro ni dreva wa hivi vidaladala,akaoa ila washkaji wakawa wanangongea wife wake balaa akaona isiwe kesi akachana na huyo dada akaoa mwingine ila safari hii alioa zeruzeru,alioa zeruzer akijua huyo atakuwa wa pekee yake hahahah mbona ikawa ndivyo sivyo wana bado wakaendelea kumtafuna na huyo albino
😅😅😅😅😅😅😅😅 swali dogo tu wanajiuliza "KWANINI JAMAA KAOA ZERU ZERU?"
 
Back
Top Bottom