Hii ndo tofauti ya sura na uso

Kizuri chajiuza..kibaya chajitembeza.

Watu wengi msemo huu wanautafasir vibaya kwa kuhisi mwanamke akiwa Mzuri wa Sura bas atajiuza (kiumalaya)


Alafu et mwanamke mbaya wa kisura ye ndo mzuri.

HAPANA....

Maana yake nikwamba...kitu kizuri hakina haja ya kupigiwa debe sana bali chenyewe kinajiuza bila hata matangazo.... Ila kitu kibaya hata sokoni kinachelewa kuisha.


Kwa mantiki hiii.... Tukifanya sababu zote kua sawa , yaan kama tabia njema wote wanazo...au kama tabia mbovu wote wanazo.

Mara mia NIOE MWADADA wa kwanza pichani.


Sema nn...Nilikuja gundua wanawake ambao Maumbo na sura zao sio Poaaa... Wanalazimika kujityuni wenyewe ili wabaki na Sifa moja ya Tabia nzuri.

Hawa wazuri sababu wanajua wanatongozwa sana basi kitabia wanakua wabovu mpaka baadae wakishachelewa ,tena wanachelewa huku wakiwa wameshazalishwa nakukimbiwa.


ILA MWANAMKE AKIWA MZURI WA SURA NA UMBO NATABIA..NI WAKUOA HUYO

kama mwanamke wangu. Ni mzuri wa Sura ,umbo na tabia. Mwanamke anasali huyoo..
 
Huyo mwenye uso ndo wakuoa huyo mwenye sura niwakuchezea other factor remain constant
Halafu bado mabaharia watakuwekea kikao kwanini umpende msichana mwenye uso na sio sura kisha watakuja na jibu kuwa kuna kitu anacho special sana ndo maana upo naye kinachofuata ni kugongewa tu mbaya zaidi ukija hapa kufungua uzi watataka picha kwanza ....mwishow unakufa
 
Back
Top Bottom