KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,215
- 56,855
- Thread starter
- #41
Hili haimaanishi kuwa neno hili haliwezi kutumika kueleza dhana mbili.Wewe vipi hata hujui kiswahili, uso ni kwa ajili ya binadamu, wanyama na hata baadhi ya vitu nk, na sura ni katika vitabu, majarida nk.
Uso= face, sura= chapter.
Hivyo hizo hapo ni nyuso.
Yapo maneno mengi tu Kama mbuzi n.k