Hii ndo tofauti ya sura na uso

Hii ndo tofauti ya sura na uso

Halafu bado mabaharia watakuwekea kikao kwanini umpende msichana mwenye uso na sio sura kisha watakuja na jibu kuwa kuna kitu anacho special sana ndo maana upo naye kinachofuata ni kugongewa tu [emoji23][emoji23] mbaya zaidi ukija hapa kufungua uzi watataka picha kwanza ....mwishow unakufa
Hahahah umenikumbusha mbali man,kuna mshikaji mmoja alikuwa Moro ni dreva wa hivi vidaladala,akaoa ila washkaji wakawa wanangongea wife wake balaa akaona isiwe kesi akachana na huyo dada akaoa mwingine ila safari hii alioa zeruzeru,alioa zeruzer akijua huyo atakuwa wa pekee yake hahahah mbona ikawa ndivyo sivyo wana bado wakaendelea kumtafuna na huyo albino[emoji23][emoji23]
 
Wewe ni footsome wala siyo handsome.🤣
Sawa kiparasome
FB_IMG_15716770079276524.jpg
 
Back
Top Bottom