Hii ndo tamaa yangu

Hii ndo tamaa yangu

huwezi amini Invisible nimefurah mpaka bas...kweli aombae hupewa..habar yako?
Niko poa, sijui wewe?
Mkuu niwekee kahawa . Naja kunywa
Hahahaha, ishamalizika!
:A S shade:
Arushaone mwambie kiongozi Invisible anaitwa huku!!!Atamke neno moja tu na nafsi ya mimisa itapona!!!!
Nshamjibu 🙂
Invisible more respect
hivi ile michango ya wakati uleeeeee
ulikwishaanza kuipokea mkuu?,
naona kama niliahidi na bado sijatoa hadi leo.
Oh, mkono mtupu haulambwi!
:amen:
 
bange hzi hizi ninazoziskia mm?..

bange.jpghizi hizi zikikaushwa tunatumia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom