Hii ndo tamaa yangu

Hii ndo tamaa yangu

anauza hadi viagra?@Passion Lady kweli?..mapato yake ni makubwa lakini..my manoah ebu nipe maelezo juu ya tuhuma hizi?..ila nampenda tu,akikamatwa tutaenda wote jela,(dats kama ni kweli anauza)
anauza mpaka viagra
aje aseme mwenyewe
we unadhani mihela yote
ni mshahara huo?dili za chobingo anapiga!

 
Last edited by a moderator:
ah ah! Passion Lady kaanzisha siku izi nae kiwanda cha majungu eeeh? acha nao njoo tuyajenge maisha mama!
anauza hadi viagra Passion Lady kweli?..mapato yake ni makubwa lakini..my manoah ebu nipe maelezo juu ya tuhuma hizi?..ila nampenda tu,akikamatwa tutaenda wote jela,(dats kama ni kweli anauza)
 
Last edited by a moderator:
anauza hadi viagra?@Passion Lady kweli?..mapato yake ni makubwa lakini..my manoah ebu nipe maelezo juu ya tuhuma hizi?..ila nampenda tu,akikamatwa tutaenda wote jela,(dats kama ni kweli anauza)

we unadhani atakubali kusema mbele yako
lazima abishe ila tunamjua c chalii yetu!
mi nimekumegea siri usimwambie!

 
Ubaya wa hlo neno uko wapi? Ni wapi pameandikwa kuwa halitakiwi kutumika popote?

Mkuu kimya kingi kina mshindo.......just keep quite,mambo ya semantics yakisumbue......tendo ni tendo hata ulitamke kwa kutumia maneno yapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom