Hii ndo sex body....

Hii ndo sex body....

kaulize police wana majibu mengi zaidi ya haya
 
Tafuta hela uttaambiwa una ho sex body

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kila body iko sexy.....inategemeana na akuonaye tu kwani kuna wengine wanapenda mijibaba yenye minyama mizembe mwilini au vice versa, kuna wengine wanapenda mijibaba inayonuka makwapa na wachafu ila warefu, kuna wengine wanapenda watu wenye misuli na wafupi kama Diamond au Lil Wayne. Wewe una kitambi na mrefu? Je, unanuka makwapa? Basi kati ya hao niliokutajia jitafute up wapi.
 
hapo pote sipo njoo na sample nyingine
 
no, namfundisha logistics!

material movement from one place to the other!

motive power, the way, terminal and carriage unit!

teh teh!

Ahahaa.. Mkuu umenikumbusha mambo ya transport..! fanya na SWOT analysis bas
 
images

ya kwanza hii
 
tuangaliie kwenye picha hapo juu tulivyo sexxxyyy
 
Back
Top Bottom