Habari zenu wana jamiiforum
wa MMU
ningependa kujua sexy body ni ipi?
sababu nimeambiwa sina sexy body.
Subiri utampata atakaeona una sex body....
Kisicho riziki hakiliki...
Huyo aliyekupa makavu live kiasi hicho bila chenga ni wazi hakupendi.
Wanasema hivi wakati mwingine badala ya kukazana kumkimbilia huyo unaemkimbilia kuna haja ya kusimama na kuangalia nyuma umsubiri yule anaekukimbilia wewe.
Hivi kwa nini umejiita Al-shaabab? ni kweli unaweza kufanana na watu hawa? na unaweza kufanya unyama wanaofanya au unaufurahia?
angalia picha hizi
View attachment 124816View attachment 124817View attachment 124818
Jiangalie kwenye kioo,............. Hiyo ndio sex body.
asee umeniacha njia panda ebu nisaidie kuifafanua kauli yako maana kama sijaielewa vile...!!
age around 20's
sex both male & female
Sekisi bode..!ukiombwa usije rusha ngumi...!
Jithamini kwa jinsi ulivyo..You are sexy no matter how you look as long as you have the confidence!!
Kutokana jibu lako hapo juu nitakujibu swali husika kama ifuatavyo:
Sex body maana yake mwili wa kufanyia mapenzi
asee nimrushie nan sasa hiyo ngumi?
Hahahaaaaa computer inasema rubbish in rubbish out...!
Mwenye post yake..! Mwenye sex body
I dont doubt myself!and why should i?Let i ask you something please!!!!
How many times do you doubt yourself before posting something on the bord?
Let i ask you something please!!!!
How many times do you doubt yourself before posting something on the bord?
mkuu hapo ni 'me' sio i.
halafu na hapo kwenye red nina wasi wasi napo!
between bord members na board members, kipi ni sahihi?
------ black bord against black board! mmh!
hii lugha ya mashua hii majanga!