Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

women have needs and MEN have responsibilities........
scarcity inavyoendelea kuwa juu na vijana kuongoza kuzaa watoto wa kike na ajali kuua zaidi wanaume ni wazi one day it will be vise versa or everything will be free!

kugaramia ni wajibu kwa familia na sio kwa dem...kwa dem ni favour tu!

dont take it personal! im glad ur back HOE
 
mhhhhhhh, walevi wengi wa mapenzi ndo huwa na fikra hizo
 
Attachments

  • I_Used_To_Think.jpg
    I_Used_To_Think.jpg
    11.3 KB · Views: 116
Pesa sabuni ya roho ila inaweza kukupeleka pabaya
 
Basi sauwa kama hutaki lakini huo ndo ukweli we mpe hela, yaani mpe hela halafu uone full maupendo

yaani unasema hivi, "mpe hela, mpe hela tena...nasema mpe hela, husikii mpe hela, na mwisho mpe hela"......eti?
 
Hilo neno "Take away" mi ndo limenichekesha...
 
jukumu lao ni kuhudumia mwanamke apendeze hasa mkewe au mpenzi. masaidiano yapo lkn sifa ya mwanume ni kutunza kilicho chake jamani. halafu kuhusu usawa, sio wote waumini wa hiyo kitu. wengine tumelelewa kidini zaidi ingawa tunasoma gender balance lkn hatupractise kivile.
Kumbe wale wanaodai haki sawa ni wapagani?
 
Basi sauwa kama hutaki lakini huo ndo ukweli we mpe hela, yaani mpe hela halafu uone full maupendo
Tofauti na wale wa mitaa ya sinza iko wapi hapo? Kwani yake ina king'amuzi cha DSTV kilicholipiwa kabisa.
 
scarcity inavyoendelea kuwa juu na vijana kuongoza kuzaa watoto wa kike na ajali kuua zaidi wanaume ni wazi one day it will be vise versa or everything will be free!

kugaramia ni wajibu kwa familia na sio kwa dem...kwa dem ni favour tu!

dont take it personal! im glad ur back HOE
Thank you Sir.
 
Na ukitaka umpate mwanamke kirahisi we mpe hela, akikuomba mpe tu hela , asipokuomba mlazimishe achukue tu hela yako.
Na siku fungu likikata ndipo utafahamu kama ni penzi la kweli au la uongo.
 
Tuna mahitaji mengi sana compare na nie so kuombwa hela ni lazima tu

tatizo siyo majukumu tatizo mnazingu hata uwe na kazi lakini still mizinga kwa sana mkiachwa mnalialia tu
 
Back
Top Bottom