Yataje tupime kama kuna ukweli.Tuna mahitaji mengi sana compare na nie so kuombwa hela ni lazima tu
Ni kweli kabisa mkuuHiyo Mbunye ina nini Special zaidi ya Mikorogo?
Pesa makaratasi
Amekimbia...aseme tena kinagaubaga kabisaa
Ni kweli mkuu.Ukitaka kuishi kwa amani wewe honga tu ila kwa mahesabu. Ni kama mkataba; you give and take. Ukishamaliza haja zako unapiga chini. Manake hawa viumbe anakujua siku ya kwanza date Karambezi akiona bill anajua zimo humu,tena wanakuwaga wa kwanza kung'ang'ania kuangalia bill eti wanahakikisha as if wanalipia wao.Kesho yake inaanza mizinga. Eboh!
Hii aione Clement kigogo wa Ikulu mfadhili wa "Ubaya Chepe"Sisi ni Mabingwa wa kuhonga ila Wepesi wa Kudai!!🙂
Ni kweli mkuu.
Kiongozi hizi tabia mpaka zinachekesha. Mtoto wa kike anakimbilia kuhakiki bill utafikiri yeye TRA auditor wakati nalipa mimi. Hata ukitaka kumpa waitress tip, yeye anamind, eboh! Hela yangu unipangie. Kesho yake asubuhi zinaanza message "baby nna kitu nataka nkwambie...lakini basi acha tu I will be fine". Ha ha ha. Anajua utauliza tu what the problem is. Unatakiwa kusema "Ok poa". Ukikosea tu ukajifanya eti u wanna know ujue lazima utapigwa mzinga mbaya. A friend of mine recently kaombwa a mil by chick he knew for only two weeks. The dude is loaded but sio ----, he told the girl "mama yangu aliyenizaa ni mstaafu hajawahi kuniomba hela nyingi namna hii" kwi kwi kwi.
Mkuu hako kasehemu kaliko na rangi mkolezo kamenigusa. Kumbe wengi tunakumbana na mambo yanayofanana!!Kiongozi hizi tabia mpaka zinachekesha. Mtoto wa kike anakimbilia kuhakiki bill utafikiri yeye TRA auditor wakati nalipa mimi. Hata ukitaka kumpa waitress tip, yeye anamind, eboh! Hela yangu unipangie. Kesho yake asubuhi zinaanza message "baby nna kitu nataka nkwambie...lakini basi acha tu I will be fine". Ha ha ha. Anajua utauliza tu what the problem is. Unatakiwa kusema "Ok poa". Ukikosea tu ukajifanya eti u wanna know ujue lazima utapigwa mzinga mbaya. A friend of mine recently kaombwa a mil by chick he knew for only two weeks. The dude is loaded but sio ----, he told the girl "mama yangu aliyenizaa ni mstaafu hajawahi kuniomba hela nyingi namna hii" kwi kwi kwi.
Hivi ulipotelea wapi wewe mrembo?Humu mnajifanya hamuwezi kuhonga lakini huko mtaani mnapigwa mizinga ya kufa mtu, ukizingatia humu tunatumia ID fake, mnabishana humu kumbe huyohuyo ndo anakupiga mizinga/unampiga mizinga
Kwani ni lazima nikila papuchi yako nikupe hela? Mbona risiti hamtoi au E.F.D hazifanyi kazi?Nyie kuomba hizo papuchi ni sawa, ila nyie wakiwaomba hela mnahamaki why? muache kuomba papuchi kama hamtaki kuombwa hela, ukitaka kula lazima uliwe