Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Mwanamme wa UKWELI lazima atumie ela kutimiza majukumu yake kwa mwanamke.

Only ubongo ulioganda na ambao haujishughulishi kufikiria utawaza hvyo
Msipojitambua mtaendelea kutumika na kuachwa kama condom au ped yaan,no offence!
 
majukumu ni kuhudumia family, wife and kids. taking ur wife for holiday dinner hayo ndio majukumu. vocha na salon kwa kidemu sio majukumu hayo...ni unnecessary expense.

Katika siku zote mzabzab leo naona umeongea point aisee.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom