miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
wewe ndo ulipitea nilikuwa nakutafuta sana huonekani! Heri ya mwka mpyaHivi ulipotelea wapi wewe mrembo?
wewe ndo ulipitea nilikuwa nakutafuta sana huonekani! Heri ya mwka mpyaHivi ulipotelea wapi wewe mrembo?
Hamuombi tu risiti mngekuwa mnaomba mngekuwa mnapewa, kumbe wewe unataka vya bure, lakini kumbuka vya bure havina TBS, shauriro ukila ukatapika na kuharaKwani ni lazima nikila papuchi yako nikupe hela? Mbona risiti hamtoi au E.F.D hazifanyi kazi?
Mkuu hako kasehemu kaliko na rangi mkolezo kamenigusa. Kumbe wengi tunakumbana na mambo yanayofanana!!
Au ina maana wakinadada wanahitimu mambo haya kwenye chuo kimoja nini... Mama yangu hajawahi kuniomba milioni moja lakini mbunye ya jana tu inathubutu...duuh hii ni hatari.
Hilo neno "Take away" mi ndo limenichekesha...
Mkuu hako kasehemu kaliko na rangi mkolezo kamenigusa. Kumbe wengi tunakumbana na mambo yanayofanana!!
Au ina maana wakinadada wanahitimu mambo haya kwenye chuo kimoja nini... Mama yangu hajawahi kuniomba milioni moja lakini mbunye ya jana tu inathubutu...duuh hii ni hatari.
Hamuombi tu risiti mngekuwa mnaomba mngekuwa mnapewa, kumbe wewe unataka vya bure, lakini kumbuka vya bure havina TBS, shauriro ukila ukatapika na kuhara
Nmemzimikia Miss wa Kinyalu jamanii ila kny kupigana mizinga 'NO' baba hapendiHumu mnajifanya hamuwezi kuhonga lakini huko mtaani mnapigwa mizinga ya kufa mtu, ukizingatia humu tunatumia ID fake, mnabishana humu kumbe huyohuyo ndo anakupiga mizinga/unampiga mizinga
Ivi iyo k2 huwa naifurahia mwenyewe?Nyie kuomba hizo papuchi ni sawa, ila nyie wakiwaomba hela mnahamaki why? muache kuomba papuchi kama hamtaki kuombwa hela, ukitaka kula lazima uliwe
sababu hiyo hapo
Umeeleza yote niliyotaka kumjibu. Nafikiri atakuwa ameelewa, siyo kwamba hatutaki kulipia, unakuta nyama choma/vyakula kedekede amekula, vinywaji amekunywa na vyote vimelipiwa, hotel/guest imelipiwa raha wote tumepata asubuhi nimempa ile wenyewe wanaita hela ya supu aliyotaka.Hahahaha you are so funny, girl. Kulipia sio tatizo, hata kuhonga wala sio tabu but darn at least try to fool a dude. One date tu unaanza mizinga? haipendezi my dear. Sio kwamba hatujui tunatumika, la hasha. Kumtunza mwanamke ni wajibu wa mwanaume anayejielewa, hili halina mjadala. Lakini sio utoke na njaa zako huko halafu uanze kunipiga mizinga kisa nimekufunua miguu. Issue kama hizi hata shetani hukimbia.Mwanamke mwenye akili atatumbua hela ya mwanaume kilaini sana kama kumsukuma mlevi utelezini. Nikujue a few days ghafla unaleta story za "nimeagiza IST ila nimepungukiwa milioni 3". Nkikii?
Ni mteja kama wateja wengine wa Take away.Na yeye mwanaume tumwite vipi??
Kwa sababu hiyo "Take Away "inaliwa na mtu au sio?
Ni mteja kama wateja wengine wa Take away.
Mkuu kuna wakati kunatokea dharura sio ajabu akaiomba hiyo pesa, ingawaje ni kweli unaweza kuwa na utaratibu wa kumpelekea kila mwezi au kila wiki lakini kunaweza kutokea dharura kabla ya kipindi hicho.Mama yako hawezi kukuomba hela ni wajibu wako kumpa hata zaidi ya millioni
eboh! Hivi hamjui kuwa KARATASI YA THAMANI NI PESA!
Hamuombi tu risiti mngekuwa mnaomba mngekuwa mnapewa, kumbe wewe unataka vya bure, lakini kumbuka vya bure havina TBS, shauriro ukila ukatapika na kuhara
Hamuombi tu risiti mngekuwa mnaomba mngekuwa mnapewa, kumbe wewe unataka vya bure, lakini kumbuka vya bure havina TBS, shauriro ukila ukatapika na kuhara[/QUOTE] Miss wa kinyaru una maana vya kulipia havina kutapika wala kuhara? Una maana wote wanaotapika na kuharisha wamekula vya bure?