Ha ha wakusamehewa bure tu haoHivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.
Aibu ya kufungia mwaka hii.
Oa kwenu, kupanga ni kuchagua.what a coincidence? Ujue hata mimi nilishagoma kuoa pande hizo, mbwembwe za kwenda kuonesha bingwa wa kulewa ukweni sizitaki. Kwa hiyo Xmas hii wewe uko pande zipi?
Kwenda kwenu si sifa bali ni sehemu ya mila na desturi zao.Hawa watu wanataka wasifiwe kwa sifa za kijinga tu, mle mkalale bhanaa.., moshi moshi kitu gani..
Asante kwa kuja. [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji122]Chuki binafsi, kama mkimbizi Tanzania rudi kwenu, acha watu na tamaduni zao bana, ni moja tukio kubwa sana ndani ya Tanzania kwa wachaga kwenda kwao kwa wingi, Nashauri itangazwe kuwa ni moja kivutio cha watalii kutembelea moshi msimu huu.
Hana kwao, kazaliwa hapa mjini, wazazi walikimbia kwao siku nyingi.Ha ha haa,jamaa ana chuki huyu.
Wanadumisha mila, utamaduni na desturi zaoMatambiko yao yanafanyika kipindi hiki
Wewe kwenu Mtwara maendeleo mmeyapata baada ya mkapa kuwajengea daraja miaka ya 2000. wenzako wachagga maendeleo yaliyapata miaka 1955.Sie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.
Mafuta fisi anatumiaga?Kwahiyo sina kazi, lakini naweza kwenda Tanga kwa mwaka si chini ya mara x 12, vipi Lexus Harrier yangu unanijazia wewe mafuta..........???
Hakuna mikoa yenye watu maskini kama yenu, huku mkishindia ugali kwa mapanki.Sie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.
Hata sie simiyu tupo vizuri
Wachagga wanamalizia kuimiliki ardhi kwenu Tanga , Morogoro, Pwani tayari. baadae yanaingia Lindi.Kwanza kabisa mimi si bwana'ko,pili kujisikia haiwezi ikawa ya SHARTI la mwaka ambapo karibia wote mnaenda,hii sio kujisikia bali ni AMRI.
Labda huwe umejiajiri ndiyo huwe na hiyo nafasi ya kwenda kwenu kila kukicha, wenzako ndiyo wamepata nafasi wanaitumia hivyoni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Lakini unajua kuwa BATA LINALIWA UKIWA NA PESA SI NDIO.....Basi pesa ipo ndio maana naenda kuila.Kama unaweza kwenda kwenu kila unapojisikia basi hata kazini unaenda kila unapojisikia. Hayo maendeleo mtayapata sasa ngapi wakati upo kwenu Tanga ukila bata.
Na wewe katambike kwenu, mtu kwao.Hawa nao, taabu yote hiyo ni kwenda kutambika!