Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka

Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka

My beloved Brother, Nobody has taken the right of anyone to say anything...Get my point..My Observation as it appears a lion share of your posting are maining relating to the matters you have suggested!! Ufisadi, Karume Missing cabinet Meeting, JK son a newly crowned Fisadi on the virtue of the President being Fisadi too, IMMMA associates affliation or alledge affilation of the Deep Green Company (Pty)-Ufisadi, The National ID Proj being a fisadi-related project, Richmond debacle Fisadi,not to mention EPA related-links from Mwanyika to step down, Mwanyika this, Mwanyika said that..

You even assumed because you're consumed with the Tabloids reporting to actually believe there very few POSITIVE news going on in Tanzania..thats absurd, thats the "cocaine addiction" Im taking about...You say something so much, than you start believing it all without reservation..be balance, be objective not subjective..

the underscoring theme does strike me as a particular pessismistic outlook of various situation and not to mention unfound speculations (National ID nothing hasnt happened yet,but--warnings,like just brace ourselves another juicy topic) that tend to talk about folks rather that issue..I have not observed you suggesting anything that points to rectify any of the griveances that you post..Im only seing a situation, Im not seeing solutions and thats troublesome...because somebody actually believes everyone in CCM will resign..Thats not realistic & its more like radical approach rather than a solution..

Im not asking no one to sing Ngonjera for nobody, because I dont do it for anybody, im not just going to sing the Tabloid Ngonjera & Im not consuming this cocaine either..The papers you mentioned are also in the market to make a profit....so, its upon us to even challenge any journalistic interest, either directly or indirectly---Magazeti yote hayawezi kuwa investigative reporting tu...I just dont believe everything said--thats one Ngonjera I refuse to sing & I still love my country as much as the next man..I refuse obscurity for a country that much more!!!!

Please share with us positive news in regards to our beloved country.

To believe that anyone who is discussing about ufisadi in regards to EPA, Richmonduli, Mkapa's scandals, Mikataba ya madini in order to bring positive changes and deal with all culprits related to those concerns, he/she is not in love with our beloved country is pure NON SENSE.

We can't keep quiet while few of the so called viongozi are becoming billionaires through migongo ya walala hoi, while our hospitals, shools, roads, daily lives of the majority are in pathetic situation.

Wake up my friend! there are no roses to smell in Tanzania unless we bring positive changes to benefit all Tanzanians and not just a few of Mafisadis. Stop running away from reality!
 
Tofauti ya Spitzer kuna proof za kumshitaki pamoja na mazuri...These circumstancial na rumorial evidence haziwezi kusaidia mtanzania..You're comparing Orange and Apples hear...Lawrence Masha una ushahidi gani wa kumuuliza directly kuhusu hiyo Kampuni ya Deep Green..Ridhiwani ni guilty because of rumorial or Tabloidial guilty of Association??

linakuwa wimbi ambalo kila mtu mwenye hoja na asiye na hoja sasa ruksa kuchangia...

Wewe unayemtetea unaushahidi upi kuwa Masha ni clean katika issue ya Deep Green, au ulikuwa naye. Wewe zako kama sio rumors ni nini au kwa kuwa hazikuanzia magazetini. Siku zote mtu anayejiamnini kuwa yeye ni safi anaruhusu watu wachunguze na mambo yawe hadharani.
 
Tofauti ya Spitzer kuna proof za kumshitaki pamoja na mazuri...These circumstancial na rumorial evidence haziwezi kusaidia mtanzania..You're comparing Orange and Apples hear...Lawrence Masha una ushahidi gani wa kumuuliza directly kuhusu hiyo Kampuni ya Deep Green..Ridhiwani ni guilty because of rumorial or Tabloidial guilty of Association??

linakuwa wimbi ambalo kila mtu mwenye hoja na asiye na hoja sasa ruksa kuchangia...


Mbona umeng'ang'ania ya Ridhwani tu na mengine unayakacha? hivi unafikiri kwamba hakuna ushahidi wa kuwafungulia mashtaka wahusika wa EPA, Richmonduli, ununuzi wa rada, KCM, n.k? Nani alikwambia hakuna ushahidi wa kutosha!? 😕

Hivi unafikiri Rais kuwaacha mawaziri 12 (kama sikosei) katika baraza lake jipya la mawaziri kutokana na tuhuma mbali mbali za ufisadi au utendaji mbovu kumetokana na habari zinazoandikwa na tabloids newspapers? Hebu wape waandishi wa habari wa Tanzania heshima wanayostahili, wameandika juu ya kashfa chungu nzima tena zenye ukweli. Kama siyo waandishi hao basi ufisadi uliofanywa na wahusika ungebaki kuwa na siri kali.
 
Wewe unayemtetea unaushahidi upi kuwa Masha ni clean katika issue ya Deep Green, au ulikuwa naye. Wewe zako kama sio rumors ni nini au kwa kuwa hazikuanzia magazetini. Siku zote mtu anayejiamnini kuwa yeye ni safi anaruhusu watu wachunguze na mambo yawe hadharani.

Prove beyond reasonable doubt ndio hapo unaruhisiwa kusema mtu ni mchafu..dhumuni langu haliwezi kuwa kumtetea Masha..kuchunguzwa kwa Mtu au kuruhusu eti ndio kigezo cha kuwa Clean...haina Logic..a clean public servent based on record, kaanza uwaziri 2005, anagalia record yake...na mamlaka ya kuchunguza tunajipa wenyewe ndio hapo naseme issue zingine haziko vetted lakini we just talk
 
Ngurudoto,
Kidogo mkuu naanza kukupata!...Na nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani.
Ni kweli mada nyingi zinaibuliwa kama vile JF imekuwa uwanja wa Tabloids kiasi kwamba inachusha hata kuzisoma. Binafsi nashindwa kufuatilia baadhi ya mada kwa sababu hazina mvuto wala chembe ya ukweli ispokuwa mapishi yaa majungu zaidi.
Kweli kabisa ningependa kuona Ufisadi wa viongozi wetu iwe wa CCM, Chadema, CUF, matumishi wa serikali ama nje ktk mashirika yetu lakini imekuwa tofauti kabisa kwani uzushi umekuwa mwingi sana tofauti na JF nayoifahamu mimi.

Jamani , inabidi tuwe open minded tusiwe tunafikiria tu kwamba tunayonunua hapa ni mchele kumbe tunajazia pumba tupu... Hata uchambuzi wake huwa mgumu na huchukua muda zaidi, na mwisho wake huwa ni fadheha kwani mchele hautoshi.
Nadhani tuwe makini kidogo tunaporusha habari yoyote maanake ufanisi ktk shughuli yoyote ile ndio huongeza soko. Kifupi vioja vimezidi sana...
 
Wewe unayemtetea unaushahidi upi kuwa Masha ni clean katika issue ya Deep Green, au ulikuwa naye. Wewe zako kama sio rumors ni nini au kwa kuwa hazikuanzia magazetini. Siku zote mtu anayejiamnini kuwa yeye ni safi anaruhusu watu wachunguze na mambo yawe hadharani.

Yeye hana ushahidi wowote wa kuhalalisha anachosema! lakini ushahidi uliofanya watu wakapoteza kazi, wengine kukimbia nchi na wengine kuwa mabubu hawataki kujibu kashfa chungu nzima dhidi yao. Hata Mkullo anachosema kwamba mafisadi wamesharudisha shilingi bilioni 60 pamoja na kuwa hatujapewa majina ya waliorudisha yeye anaona ni mambo ya kitabloid tu! Duh! Watu wengine bwana!
 
Ngurudoto,
Tafadhali usije nifanya niendelee kuamini kuwa hii ni moja ya ngao kubwa za NDIVYO TULIVYO!..

Mkuu ktk nchi za Magharibi (nchi zilizoendelea), huko uliko, kweli wanaweza kubali na kukaa kimya ktk maswala nyeti kama haya ati kwa sababu uchumi wao ni mzuri ama kuyatazama mazuri yaliyofanywa na viongozi dhidi ya hao machache mabaya.

Mkuu, hata majumbani mwetu mtu hlaumiwa kwa kile kibaya alichokitenda hata kama siku zote alikuwa msafi. Makazini ukiharibu utaonywa ama kukemewa bila kujali kazinzuri ulizowahi kuzifanya kwa sababu hilo kosa linaweza haribu kabisa ufanisi na nafasi ya kampuni ktk shughuli zake za kibiashara.
Hii ni hofu tuliyokuwa nayo wengi na ichukuliwe na viongozi kuwa tunaona wanakoipelekea nchi yetu. Sasa tuambaie wewe ungefanya nini kinyume na hiki tunachokifanya hapa. Ningependa sana viongozi wetu wangekuja hapa na kutueleza mapendekezo yao jinsi ya kuikosoa serikali ama wao pale wanapofanya makosa ya wazi kwa makusudi kabisa bila kujali sheria wala maslahi ya nchi.
Leo hii dhahabu inagonga dollar 100 kwa ounce, Umeme bado ni tatizo nchini, maji hatuna, miundombinu mibovu mkuu hii ni karne ya 21 jasho linatutoka kutokana na mikataba mibovu ambayo iliwekwa kinyume. Tusipozungumzia leo hii ni lini ulitegemea tutaweza yasema yote hali kama unavyofahamu sisi ni wepesi sana wa Kusahau. Kisha bahati mbaya ni kwamba hatuhitaji vikubwa kuridhisha roho zetu...
Sidhani kama utaona malalamiko yanayohusiana na makosa madogo ya kiutendaji kazi ambayo hutokea kila siku..Tunazungumzia yale yaliyopita mpaka na yamefunikwa kwa kawa makusudi. Tatizo kubwa ni kwamba maslahi ya Tanzania ndio maisha yetu sote otherwise no one would have cared!.


Sema mkandara sema! na wengi bado tunaamini una mapenzi ya kweli ya nchi yetu. Unakosoa ili kuwe na marekebisho ya kuwanufaisha Watanzania wengi na sio mafisadi wanaokupua kila kukicha
 
Jf ukiingia unakuta thread sio chini ya 8 zinazungumzia, kwa njia moja ama nyingine, UFISADI. Kwakweli sijambo zuri kama jamii ya Kitanzania imetawalwa na tatizo hili. Nia yangu nikujaribu kutoa fikira zangu, kuuliza maswali machache na kujaribu kupata mchango wa wanaJF.

Leo nimesoma kuhusu Freeman Mbowe kuwa ni fisadi kwasababu hajalipa mkopo.Sasa kama mtu alikopa mil.15, alafuleo anadaiwa 1.2Billion na bado riba inaendelea kujilimbikizia labda sio fisadi, labda anachangia taifa.hahaha. Nadhani tumezidi,it makes no sense. Wasomaji wengi mpaka hapa watadhania nia yangu ni kumtetea Mbowe, basi ngoja niweke hilo sawa. Nisingependa kuingiza sera zangu zaki siasa katika hoja hii lakini,suffice it to say, I don't approve of Mbowe's character at all, hafai kabisa kuwa kiongozi.Lakini tuache hayo.Mfano wangu lengo lake nikusema kwamba kila mtu ni fisadi kisa tajiri, ama anafanya kazi serikalini?

Mtu yeyote mwenye familia, nadhini wengi wenumlio katika nafasi hiyo mtakubaliana na mimi, anawajibu wakulisha, kuvisha,kuilinda, kuielimisha nakuijali familia hiyo. Mtu anapokuwa mfanyakazi serikalini, achana na political leaders or high civil service,mishahara duni, matatizo kede kede na bei za bidhaa zote zina panda kutokana na cost push inflation (price of oil morre than $100 a barrel) utamwambia vipi asile rushwa? Ndio maana nasemaga wangiwetu humu wapigakele tu, wangapi kati yetu atakataa milioni 200 kuisadia kampuni yakichina ipate tenda ya kujenga barabara,daraja ama chuo? Hela ambayo itasaidia watoto wako wasome vizuri, uweze kujiuguza ukiumwa, uwajengee nyumba watoto wako...wangapi kweli watakataa humu, wakati wengine wakipata rumours tu wanaenda kublackmale wahusika..hahaha sitaki hata jibu la hilo swali hapo juu, maana Petro nae alisema hato mkana Bwana mara tatu.

Hakuna cha CCM, upinzani walanini! Tatizo linaloleta ufisadi ni umaskini wakiroho, udhaifu wakizalendo... Jambo lakushangaza and rather ironic maana wote wanaotawala tanzania sasaivi walizaliwa katika kipindi cha Patriotic social ideology yakina mwalimu,Mao,Castro etc... Sasa watot wa 1990s wakija madarakani sijui itakuwaje! Lakini mimi nadhani labda uzalendo upeweumuhimu zaidi, watu wapende nchi zaidi kuliko ilivyo sasa ambapo kilamtu anajiangalia mwenyewe na sio Tanzania. Mashuleni, wanafunzi wafundishwe kuwa wazalendo na athari za rushwa. Ili generation ijayo iwedominated na watu wasiona mawazo ya hujma.

Mtu anaewalaumu viongozi ambao tunawachagua baada yakupewa pilau na khanga, au baiskeli ni mnafiki. This is how Tanzanian leaders are elected, kwa kuhonga. Kwahiyo siasa kwetu ni biashara. CCM juzi Kiteto wameona Chadema wanapata wafuasi kwasababu ya helikopta, nawao wakakodi moja... yani nivituko.. Inamaana sera za Chadema na CCM nikuwateka wanakijiji na maajabu ambayo hawajazoea kuona katika maisha yao??? This is stupidity, na hivi ndio vyama ambavyo vinaongoza kwa wafuasi Tanzania. Je, kweli tunademokrasia?? CCM wameiba BOT, kufund campaign, its a fact. Lakini hakuna reprocution ama concequences zozote za maouvu yao... sasa kwanini waache?? hata mimi ningeendelea. kwanini mtu afanye kazi kama anaweza akaingia benki akaiba na asifanywe kitu.haha. Watanzania inabidi tuamke. Ok, admittedly kuna kaji muamko fulani,watu wanaongea lakini haitoshi. Hata humu JF.. oh EPA,Richmond, TICTS,Deep Green,tangold,kiwira,IPTL, Mahalu.. which other one, RADAR,ANBEN, nini tena! is that it? Dili hizi ziko nyingi mpaka inatisha lakini hakuma anaesema kitu... Kila Kiongozi anajiangalia yeye! Ni ideological problem, sio watu wachafu tu, maana atawale wasio walafi bado wanakula vyakutosha. Do you know how much vyakutosha is?? 1 billion, 500million, 200 million.. safi. Nenda kwa wakuu wapolisi park nnje muangalie jinsi wahindi wanavyo kuja na bahasha. Utadhani tiba anatokea Maharashtra na sio Kagera.LMAO. Ingekuwa shuleni, mwalimu anafundisha alafu wanafunzi 100% wanafeli... tatizo sio wanafunzi, at least sio wote.. kuna FUNDAMENTAL FLAW... Jee wenzangu mnadhania nini? And please dont reply with some bulshit like CCM ama JK ama upinzani mbovu. Let the record state: Huwezi kuwa Rais wa Tanzania katika miaka ya leo bila kuwa mchafu, ukiwa msafi, wachafu watakupiku, wataingia. Kwahiyo tuangalie tutabadilishaje mawazo yetu watanzania, tuache tabia zinazo tuhujumu kama jamii??
 
Sema mkandara sema! na wengi

"Cocaine Fisadi Addict # 1"..Ndio ushabiki wa Yanga na Simba hamna lolote zaidi tu ya majungu!!!

Litany of complaint sio solution kwa lolote..kila mtu mhariri, kila mtu mpelelezi wa Fisadi..Stori za ufisadi zinaanza kuchuja na msimu wa ushabiki utaisha tu..

Kama mnataka mabadiliko mkagombee nafasi za uongozi sio utabiri kuwa kabla hamjafa CCM yote ianguke alafu audience ni sisi wenye Internet..nenda kwa shina acha skejo..

Vita kwa kutumia wanajeshi wa mstari wa kati uliona wapi, nenda mstari wa mbele acha kelele za ufisadi kila sekunde moja kama kuku wa interchick...
 
Bubu ataka Kusema,
Hapana mkuu wangu nipo kila sehemu isipokuwa upupu umezidi sana kiasi kwamba hili neno Fisadi linapoteza Munkari. Nasikia huko Bongo siku hizi hata mwizi wa Mitaani huitwa fisadi yaani imekuwa wimbo kama vile ndugu zetu weusi huko Marekani wanavyolitumia neno chafu (N - word).
Kibaya cha matumizi ya maneno kama haya kama alivyosema Bill Cosby ni kwamba weusi walipojaribu kulitumia neno hili in a Positive way kama wanavyodai wao, basi mauaji yamehamia ama yamezidi ktk jumuiya zao badala ya kuwa na matunda mema. Tena shooting zenyewe zinafanyika huku wakiitana N....

Ndio maana nasisitiza tujenge yale tuliyokuwa nayo kwa kuhakikisha natapata suluhu hata kama mchango wetu uendelee kuwa ni mayowe, hata Simba hukimbia sii lazima ubebe mkuki ama Bunduki kama anavyodai Ngurudoto. Tatizo naloliona hapa ni kwamba watu tunapiga makelele hata paka akipita kuwa Simba huyooo! sasa jamani imekuwa mchezo tena hili neno Fisadi mwisho wake wengine watashindwa kuamini maanake kila kukicha tunafikiria tu nani kabaki hana scandal. Hii wakuu inachosha sana hata zile mada muhimu zinakuwa hazina muda kuwepo ukurasa wa kwanza ambao umejaa pumba nyingi.
Nasema hivi kwa sababu baadhi ya watu wasomaji wakubwa wa JF wameshaanza kunambia kuwa siku hizi JF imekuwa kijiwe cha kahawa, mwenye habari hata ya kunguru kachukua kibandiko cha Sheikh itawekwa hapa maadam huyo Sheikh ni mtuhumiwa wa Ufisadi.
 
"Cocaine Fisadi Addict # 1"..Ndio ushabiki wa Yanga na Simba hamna lolote zaidi tu ya majungu!!!

Litany of complaint sio solution kwa lolote..kila mtu mhariri, kila mtu mpelelezi wa Fisadi..Stori za ufisadi zinaanza kuchuja na msimu wa ushabiki utaisha tu..

Kama mnataka mabadiliko mkagombee nafasi za uongozi sio utabiri kuwa kabla hamjafa CCM yote ianguke alafu audience ni sisi wenye Internet..nenda kwa shina acha skejo..

Vita kwa kutumia wanajeshi wa mstari wa kati uliona wapi, nenda mstari wa mbele acha kelele za ufisadi kila sekunde moja kama kuku wa interchick...

Kamwe siwezi kuyafananisha mapambano dhidi ya mafisadi na unazi wa yanga na simba. Sio kila mtu anataka kuwa kiongozi wa chama na siri kali wengine tuna profession zetu tunazozithamini zaidi kuliko kuwa kiongozi wa chama na siri kali, pamoja na kutokuwa viongozi wa chama na siri kali haituondelei haki zetu kama Watanzania kupigia kelele maovu mbali mbali yanayofanywa na the so called viongozi. Juzi tu wenzetu wawili hapa JF walitiwa ndani kwa kile kinachoitwa uchochezi ndani ya Tanzania, lakini baada ya kupitia michango mbali mbali ya hapa JF, wakubwa wamegundua JF inakosoa ili kujenga kwa niaba ya Watanzania wote, hivyo wenzetu wawili wakafutiwa mashtaka na kuachiwa huru.

Usitake kuwanyamazisha Watanzania wanapokosoa uozo mbali mbali unaofanywa na viongozi uchwara. Nimekwambia lete mazuri yanayofanyika bongo kwa manufaa ya umma wa Watanzania mpaka sasa sijaona lolote.
 
"Cocaine Fisadi Addict # 1"..Ndio ushabiki wa Yanga na Simba hamna lolote zaidi tu ya majungu!!!

Litany of complaint sio solution kwa lolote..kila mtu mhariri, kila mtu mpelelezi wa Fisadi..Stori za ufisadi zinaanza kuchuja na msimu wa ushabiki utaisha tu..

Kama mnataka mabadiliko mkagombee nafasi za uongozi sio utabiri kuwa kabla hamjafa CCM yote ianguke alafu audience ni sisi wenye Internet..nenda kwa shina acha skejo..

Vita kwa kutumia wanajeshi wa mstari wa kati uliona wapi, nenda mstari wa mbele acha kelele za ufisadi kila sekunde moja kama kuku wa interchick...


Great stuff ! its just a matter of time before people realize !
 
Illegal Taxes

I am mightily disappointed to see that the TCRA is trying yet another method of milking the people. They previously tried to demand that every TV owner pay them a yearly tax. That seems to have failed, so they have now imposed a tax of US$450 on “shop owners and vendors selling TV sets, cell phones and other electronic equipment”.


It is anarchy if various government agencies can impose their own taxes. It is absolutely stupid to demand that sellers of “other electronic equipment” pay you yearly. It shows utter greed and loss of touch with reality on the ground to demand that every machinga that sells cell phones should pay you $450 every year.

It ought to be the case that only Parliament can impose taxes. We should not have every person who lords it over a section of society imposing taxes at will.

What service does the TCRA provide to “vendors of TV sets, cell phones and other electronic equipment? None at all. The TCRA is simply trying to illegally impose taxes and use the money to enhance their bloated life styles. It has a bunch of people who like to ride in very expensive vehicles and live like CEOs of huge corporations in developed countries! Manyonyaji tu!

Hawa wanyonyaji wa aina hii nao ni fisadi. Wanataka kuwaibia wafanya biashara wadogo wadogo ili wapate fedha za kujilimbikizia mishahara mikubwa na marupurupu zaidi. Ni wezi tu. They must be resisted.

I would hope that no vendor of “TV sets, cell phones and other electronic equipment” will agree to pay this tax. Let the matter go to court, and there these exploiters are bound to lose.

If the TCRA truly believes that we owe them a tax, then let them take the matter to Parliament. There, and only there, should taxes be legally and morally imposed.


See the report below. It is from The Arusha Times.
============================================
Traders protest USD 450 levy on electronics
By Musa Juma
A USD 450 per year levy imposed by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) on shop owners and vendors selling television sets, cell phones and other electronic equipment has raised a major hue and cry in Arusha.

The Arusha Association of Electronic Communication and Domestic items traders have appealed to the Minister for Technology and Communication, Prof. Peter Msolla to intervene on the matter. They said that the tax had been misdirected to them. Businesses, they claim, that are supposed to pay such tax or license are those owning communication facilities such as cell phone service providers, television and radio stations.

The association’s leaders told reporters in Arusha recently that they had to appeal to the minister as they sold only consumer items such as mobile phones and other electronic gadgets on retail basis.

TCRA officials, accompanied by police, have been visiting electronic shops in Arusha demanding owners to buy a license form at USD 50 and further pay USD 400 as business license fee. This is according to the shop owners.
The General Secretary for the association, Ahmednoor Jamal said it was also unbecoming to see a government authority such as TCRA demanding their levy paid in US dollars instead of the local national currency.

 
grrrrrrrrrrrrrrrrrrr why why why.. nchi yenyewe iko nyuma, badala ya kufanya electronics equipments affordable and easily available wanataka kulazimisha mambo ya ajabu. Halafu haya kulipa katika dola yana maana gani? Hivi hela yetu imekuwa kama ya Zimbabwe? I'm with you mwalimu.. huu ni unyonyaji usio na lazima yeyote. Sasa watu waache kuuza electronics?
 
TCRA ilianzishwa kwa sheria ipi?Hebu tuangalie Majukumu yao.

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act no. 12 of 2003 is an independent Authority for the Postal, Broadcasting and Electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. Its role include licensing and regulating the Postal services, Broadcasting services and Electronic Communications sectors in the United Republic of Tanzania.

TCRA became operational on 1 st November, 2003 and has effectively taken over the functions of the two defunct commissions. Specifically the Authority is responsible for enhancing the welfare of Tanzanians through:
  • Promotion of effective competition and economic efficiency;
  • Protecting the interests of consumers;
  • Promoting the availability of regulated services;
  • Licensing and enforcing licence conditions of broadcasting, postal and Telecommunications operators
  • Establishing standards for regulated goods and services
  • Regulating rates and charges (tariffs);
  • Managing the radio frequency spectrum;
  • Monitoring the performance of the regulated sectors.
  • Monitoring the implementation of ICT applications

unajua haya mambo ya kuiga ndiyo yanatuingiza matatizoni,TYhus why hata EWURA na wao wanatuchaji pesa kwa kila Umeme tunaotumia,Kwa kila Maji tunayotumia.na wao wanataka kuondesha Ufanisi,na wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa hizi PHD walizonazo watu zinawasaidia nini?

Serikali imekosa Ubunifu wa nini cha kufanya ili waweze kupata mapato ya ziada apart from what they earn from Income Tax and VAT,sasa wanachokifanya ni kubuni mabaya kutoka jkwa nchi marafiki na kutuletea sisi.Kuna Vitu kibao kama Magogo ambayo kodi yake ni ndogo

suala la Kulipia TV wangelianzisha wananchi wangechoma moto lile jengo,na ilikuwa sera mbovu kuliko zote kutokea katika nchi hii,mathalani ni wananchi wangapi huko vijijini hawana hata TV ili wapate habari,Nakumbuka nilishwahi kwend asingida katika kijiji kimoja cha watu 1500 ila kulikuwa na TV moja tu ambayo watu huenda kuangalia mpira.
 
Nadhai wameshindwa kuelewa hiki kipengele: "Licensing and enforcing licence conditions of broadcasting, postal and Telecommunications operators" ambacho kiko kwenye terms of reference zao. Hiki kinawapa jukumu la kutoa vibali (license) kwa watangazaji wa TV na redio, na watoaji wa huduma za simu na internet. Hakiwapi ruhusa ya kutoza KODI.

Kuna kodi inatozwa na serikali toka kwa makundi haya. Fedha hizo zinatumika kuwapa TCRA ruzuku ya kufanyia kazi zao.

Hakuna sheria inaoruhusu TCRA kutoza mtu yoyote kodi. Na TCRA kutoza kodi wauzaji wa vyombo vya mawasiliano "and other electronic equipment" ni wenda wazimu. Ni wizi. Ni kuvunja sheria.
 
Nadhai wameshindwa kuelewa hiki kipengele: "Licensing and enforcing licence conditions of broadcasting, postal and Telecommunications operators" ambacho kiko kwenye terms of reference zao. Hiki kinawapa jukumu la kutoa vibali (license) kwa watangazaji wa TV na redio, na watoaji wa huduma za simu na internet. Hakiwapi ruhusa ya kutoza KODI.

Kuna kodi inatozwa na serikali toka kwa makundi haya. Fedha hizo zinatumika kuwapa TCRA ruzuku ya kufanyia kazi zao.

Hakuna sheria inaoruhusu TCRA kutoza mtu yoyote kodi. Na TCRA kutoza kodi wauzaji wa vyombo vya mawasiliano "and other electronic equipment" ni wenda wazimu. Ni wizi. Ni kuvunja sheria.
Labda Hivi vifungu vinawapa nguvu kisheria??
Monitoring the performance of the regulated sectors.
Monitoring the implementation of ICT applications
 
Back
Top Bottom