Hawa watu nafikiri wanatuona watanzania wote ni mambululu wanataka kutimuza ndoto uzeeni
Na hao vibabu wote wamepaona pachungu baada ya magufuli kuteuliwa.
Wanajua hana ushwahiba na haangalii sura vidili vyao kwishney ha ha ha.
Hawa watu nafikiri wanatuona watanzania wote ni mambululu wanataka kutimuza ndoto uzeeni
Hoja yangu haihusiani na ubaguzi wa aina yoyote.Umoja ni ushindi. Ukawa hatubagui watu
This is the sixty-four-thousand-dollar question!Hahaha ......Kwanini Bashe , Nchimbi, Jerry Slaa hawajitoi CCM wanatoka wazee ambao wakati wao ulishapita?
Kingunge haamini dini, kwa hiyo unapoteza muda wako bure kuleta nukuu toka kwenye Biblia.Mithali16:31" Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu km kikionekana kwenye njia ya haki". kwahyo hao wazee tuwape heshima yao.
UKAWA ni kitu gani ndani ya sheria ya vyama vya siasa?Sitashangaa kusikia na wewe umehamia Ukawa.
Kuna sauti za statesman ukizisikia huwezi kuzipuuza.Wangetoka akina Warioba, Butiku walau ningehoji akili yangu kama nipo sahihi kukataa mabadiliko haya feki ....
naona umekosa cha kuandika sio, shame
Kabla hujaanza kudandia mifano ya Kenya, ulitakiwa kwanza ufanye tafiti!Unamdanganya nani, wewe mpiga debe wa Mr Push-up????? Kibaki na wazee wenzake huko Kenya, walimwacha Moi na KANU yake, na kujiunga na upinzani, na matokeo ya spidi 120 yalionekana. Nenda Kenya hata leo ukaulize, watakwambia kazi za Kibaki aliyekuwa hataki maneno mengi, kama Lowassa. HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!! TUMEKWISHA KUAMUA, Rais wetu ni Lowassaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Pole !kuwa original kwakuyakubali mabadiliko
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!
Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!
Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!
Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya km 120!
Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!
There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian
Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!
Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!
![]()
c
Katika hao kuna waliokuwa na nafas za juu sana. Ni mwapachu tu hajawahi kuwa juu sana.
Wengine hao wamewah kuwa na madaraka na nafas nyet sana lakin wapi hamna kitu
Waliishia kupiga rushwa au kuchekea rushwa ikipigwa
Kwa hiyo hatutakuwa tunakosea tukisema Sumaye mchana ni Lowassa, usiku ni Magufuli!Nadhani hukumuelewa masolex..kuna watu mchana wapo ccm uck wapo ukawa..Thnk big bana
Una maana gani?Wivuuuuuu
Kama ningekuwa napenda kuona fikra zangu ni sahihi kila wakati nadhani nisingeleta hata thread ili kupata michango yenye fikra kinzani.Ttzo lako unapenda kuona fikra zako ndio sahh kwani umesikia hao jamaa ndio mawaziri
Ukweli upi wanaosimamia?Hawa wamejitolea kusimamia ukweli na hawakuja kutaka ubunge na kadhalika. Nafasi za wanaukawa hazijachukuliwa na wageni kwahivyo Ukawa hawana budi kuwakaribisha