Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

Mtaota sana ila Ikulu si rahisi kama mnavyojiaminisha maana mnaweza kuuzwa na mkauzika mkidhani mabadiliko kumbe ni ya kuwadidimiza!!!!Kuna wagombea zaidi ya watatu wa uraisi na usijiaminishe sana kuwa chama chako au mgombea wako atashinda kwa kuangalia wanaokuja katika mikutano ya chama chako!!! Tafakari kuwa na subira usije ukapata maradhi ya presha au mshituko au kushindwa kula chakula ulotafuta kwa jasho lako kwa mgombea wako kushindwa!!!!
Dunia hii ina watu wengi ambao wanaishi katika matamanio yao au wanadhani dunia inajengwa kwa kutumia fikra zao.

Suala la ''nyomi'' kwenye mikutano siyo hoja tena kwa sababu kwa watanzania wengi kwa sasa mikutano ya kisiasa ni sehemu ya leisure time.

Kwa Tanzania hata election polls hazithaminiki!

Nasikia eti kuna wengine wameanza kusherekea ushindi wakati hawafahamu hata wapiga kura achilia mbali idadi ya wapiga kura wao.

Tutasikia mengi sana!
 
Uchaguzi huu ni make or break kwa CHADEMA na hasa viongozi wake wakuu...
Mbowe ni mpiga kamari ambaye sidhani kama amezipanga karata zake vizuri. Kama CHADEMA itashindwa uchaguzi wa urais basi Mbowe atakuwa katika hali mbaya sana kisiasa. Kwanza lawama zote za kushindwa toka kwa mahasimu wake ndani ya chama zitaelekezwa kwake, kwani ni yeye ambaye, kwa kiwango kikubwa, ndie aliyekuwa injinia wa mkakati wa "kumuopoa" Lowassa toka chama tawala. Ni huyo huyo Mbowe ndio aliyekuwa mteteaji mkubwa wa kuvunjwa kwa kanuni za chama kwa kumruhusu Lowassa awe mgombea ilhali hakukimu vigezo. Matokeo yake tumeyashuhudia kwa kujitoa kwa Dr. W. Slaa ambaye amekuwa kiungo muhimu katika kukijenga chama kitaifa. Pili nafasi yake kama kiongozi wa upinzani bungeni itakuwa mashakani kufuatia kupoteza majimbo kadhaa aidha kwa vyama vingine vya upinzani au chama tawala.

Ninachoona ni kuwa mikakati ya Chadema imejikita zaidi kwenye hisia (potofu) ya kutaka kupata rais toka kanda ya kaskazini kufuatia misemo awali, toka kwa watu binafsi, kwamba rais hawezi kutoka kaskazini. Kilichotokea ni mihemuko iliyochochea kuunda timu ya "mashambulio" inayoongozwa, kwa kiwango kikubwa, na Lowassa, Mbatia, Sumaye na Mbowe. Mkakati huu sidhani kama umeisaidia sana Chadema badala ya kufanya chama kizidi kuonekana/kuthibitika kama chama cha kikanda zaidi.

Ingawa Chadema wamejitahidi kutengeneza "nyomi" kadhaa lakini kwa kiwango kikubwa nyomi hizi zimekuwa zikielekezwa kwa mgombea urais, na kwa kiwango kidogo wagombea ubunge; mfano Mch. Msigwa huko Iringa. Lakini ukweli unabaki pale pale kwamba hakujatumika nguvu zinazowiana katika kuwanadi wabunge na madiwani sehemu mbali mbali nchini. Hao ni kama wameachwa wajipigie kampeni wenyewe bila kupata mchango wa kutosha toka kwenye chama.

Kama hiyo haitoshi hali inazidi kudhihirika kwamba UKAWA ni muungano hafifu kwani umeshindwa kwa kiwango kikubwa kukubaliana kuwa na mbinu moja katika kutafuta wabunge na madiwani. Kwa kifupi Chadema imeonyesha mapungufu mengi katika uchaguzi huu zaidi ya ilivyokuwa hapo awali. Wafuasi wamebaki kujifariji kuwa watashinda uchaguzi kwa sababu ya Lowassa ingawa wote tunajua kuwa nguvu ya mamba iko kumayi. Lowassa wa CCM siyo yule yule Lowassa wa Chadema. Kuongeza nguvu toka kwa wachovu wa kisiasa kama vile Kingunge na genge lake hakutosaidia sana.

Na hapo ndipo utabiri wa kufungwa kwa bao la mkono utakapotimia.
 
Waaau!
Mababu hawa wachovu ndiyo walete mabadiliko? Kingunge alihongwa parking system na Mwapachu ana % yake kukodisha nyumba za Lowassa kea USD wakato akiwa SecGen wa EAC. Yeah, mabadiliko.
WM
Hawa pensioners waliozeekea ndani ya CCM na serikali yake ndiyo wanadai wako tayari kwa sasa kutupigisha kwata la kimaendeleo kwa speed ya 120Km/h.

Tanzania hatuna upungufu wa vituko na vichekesho!
 
Hebu ipange hiyo safu katika wizara 8 muhimu.
Kisha uniambie hiyo kasi ya kumzidi mlugo itatoka wali na kwa nani.
Muongeze na Lema na Sugu hapo juu.

Sumaye keshasema hakuna wanaojua utumishi wa umma huko.

Speed 120.
Utashangaa

Si bora hawa???
Nyie ccm mnatudanganya Tanzania ya maguful?
Nchi itajengwa na mtu mmoja?
Mtu ambaye amesimamia ujenzi wa barabara chini ya viwango,
Mtu aliyeshindwa kulipa wakandarasi na sasa nchi inalipa faini ya kuchelewesha malipo
Mtu aliyewapa ndugu zake nyumba za serikali,
Mtu aliyeshika wachina kwa kuvua samaki akitaka sifa kumbe hakuwa na hoja za msingi sasa nchi inaingia hasara ya mabilion kulipa fidia,
Mtu anayesema ataunda mahakama maalum ya mafisad wakati serikali yake imeshindwa hata kujaribu kuwashtaki, inalalamikia wananchi na kushika wapinzan tu.
Mtu mnafiki anayejifanya anachukia rushwa wakat anatumia gar za serikali kufanya kampen, anagawa tisheti na kofia kwenye kampeni zake, anahonga watu pesa I'll wahudhurie mikutano yake, anabeba watu kwa malori kwenda kwenye mikutano yake, RUSHWA TUPU.
Mtu ambaye anaikosoa na kuilalamikia serikali ambayo yeye bado ni Waziri katika baraza la mawaziri na hesimi amefanya nn kuondoa kero za wananchi akiwa kama mshaur wa rais kama Waziri,
Mtu asiye na utu wala huruma kwa wananchi wanyonge, alisema wapige mbizi, wasambaze vinyesi barabarani viwe lami,
Mtu aliyeishiwa hoja na kutaka ikulu kwa kutisha watu kuwa wakichagua upinzani itatokea vita maana yake n kuwa hayupo tayari kukubal maamuz ya wananchi kuikataa ccm,
Mtu ambaye hawez kupanga wazimamiz vizur hadi aende saiti akasimamie mwenyewe, sasa rais akienda saiti sjui itakuwaje?
Mtu ambaye hana uzoefu wa uongoz, hajawah hata kuwa baloz wa nyumba kumi kwenye chama.
Mtu ambaye hajui kingereza vizuri
Mtu ambaye anatumia kiki ya kusalimia watu kwa makabila kwenye kampeni wakati watanzania tunaunganishwa kwa kiswahili.
Mtu ambaye anapiga push up jukwaan mbela ya watoto na wajukuu wkat hana hata historian ya kwenda Jim,
Mtu ambaye anadhihaki afya ya mwenzie wkat yy alienda kwa babu wa loliondo kugonga kikombe.
Mtu ambaye so and so and soooo.
 
Mleta uzi una akili changanyikeni kama za akina Dr. Slaa, MMM, et al ambao kwa asili ni wana ccm mamboleo...
Wananchi wameshaamua... wewe ni nani hadi ukatae..??
Wananchi ni kina nani? Wewe unadhani akina DK. Slaa, MMM, et al siyo wananchi?

Hivi unaelewa hata mantiki ya ulichokiandika?

Mimi ni mwananchi kama wewe na nina haki ya kusema Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Si bora hawa???
Nyie ccm mnatudanganya Tanzania ya maguful?
Nchi itajengwa na mtu mmoja?
Mtu ambaye amesimamia ujenzi wa barabara chini ya viwango,
Mtu aliyeshindwa kulipa wakandarasi na sasa nchi inalipa faini ya kuchelewesha malipo
Mtu aliyewapa ndugu zake nyumba za serikali,
Mtu aliyeshika wachina kwa kuvua samaki akitaka sifa kumbe hakuwa na hoja za msingi sasa nchi inaingia hasara ya mabilion kulipa fidia,
Mtu anayesema ataunda mahakama maalum ya mafisad wakati serikali yake imeshindwa hata kujaribu kuwashtaki, inalalamikia wananchi na kushika wapinzan tu.
Mtu mnafiki anayejifanya anachukia rushwa wakat anatumia gar za serikali kufanya kampen, anagawa tisheti na kofia kwenye kampeni zake, anahonga watu pesa I'll wahudhurie mikutano yake, anabeba watu kwa malori kwenda kwenye mikutano yake, RUSHWA TUPU.
Mtu ambaye anaikosoa na kuilalamikia serikali ambayo yeye bado ni Waziri katika baraza la mawaziri na hesimi amefanya nn kuondoa kero za wananchi akiwa kama mshaur wa rais kama Waziri,
Mtu asiye na utu wala huruma kwa wananchi wanyonge, alisema wapige mbizi, wasambaze vinyesi barabarani viwe lami,
Mtu aliyeishiwa hoja na kutaka ikulu kwa kutisha watu kuwa wakichagua upinzani itatokea vita maana yake n kuwa hayupo tayari kukubal maamuz ya wananchi kuikataa ccm,
Mtu ambaye hawez kupanga wazimamiz vizur hadi aende saiti akasimamie mwenyewe, sasa rais akienda saiti sjui itakuwaje?
Mtu ambaye hana uzoefu wa uongoz, hajawah hata kuwa baloz wa nyumba kumi kwenye chama.
Mtu ambaye hajui kingereza vizuri
Mtu ambaye anatumia kiki ya kusalimia watu kwa makabila kwenye kampeni wakati watanzania tunaunganishwa kwa kiswahili.
Mtu ambaye anapiga push up jukwaan mbela ya watoto na wajukuu wkat hana hata historian ya kwenda Jim,
Mtu ambaye anadhihaki afya ya mwenzie wkat yy alienda kwa babu wa loliondo kugonga kikombe.
Mtu ambaye so and so and soooo.
Watu kama nyinyi hamtakiwi kabisa kuonekana ndani ya mita mia mbili toka kituo cha kupiga kura. Pigeni kura halafu nendeni nyumbani mkapumzike na kungojea matokeo. La sivyo vyombo vya dola vitawashughulikieni. #HapaKaziTu.
 
Cdm na ukawa tunahadhina kubwa ya wachapakazi, hao wazee ni washauri tu..
Hawa ndiyo madereva wa gari la CHADEMA ndiyo maana wanatuomba tuwape kura ili gari la taifa walikimbize katika speed ya 120Km/h.

Baada ya kuwa pensioners ndani ya CCM na serikali yake huku wakiwa wamebeba tuhuma na kashfa nyingi eti kwa sasa wanataka tena tuwaamini wakati nyuso zao zinasema tofauti na kile wanachokisema.
 
Si bora hawa???
Nyie ccm mnatudanganya Tanzania ya maguful?
Nchi itajengwa na mtu mmoja?
Mtu ambaye amesimamia ujenzi wa barabara chini ya viwango,
Mtu aliyeshindwa kulipa wakandarasi na sasa nchi inalipa faini ya kuchelewesha malipo
Mtu aliyewapa ndugu zake nyumba za serikali,
Mtu aliyeshika wachina kwa kuvua samaki akitaka sifa kumbe hakuwa na hoja za msingi sasa nchi inaingia hasara ya mabilion kulipa fidia,
Mtu anayesema ataunda mahakama maalum ya mafisad wakati serikali yake imeshindwa hata kujaribu kuwashtaki, inalalamikia wananchi na kushika wapinzan tu.
Mtu mnafiki anayejifanya anachukia rushwa wakat anatumia gar za serikali kufanya kampen, anagawa tisheti na kofia kwenye kampeni zake, anahonga watu pesa I'll wahudhurie mikutano yake, anabeba watu kwa malori kwenda kwenye mikutano yake, RUSHWA TUPU.
Mtu ambaye anaikosoa na kuilalamikia serikali ambayo yeye bado ni Waziri katika baraza la mawaziri na hesimi amefanya nn kuondoa kero za wananchi akiwa kama mshaur wa rais kama Waziri,
Mtu asiye na utu wala huruma kwa wananchi wanyonge, alisema wapige mbizi, wasambaze vinyesi barabarani viwe lami,
Mtu aliyeishiwa hoja na kutaka ikulu kwa kutisha watu kuwa wakichagua upinzani itatokea vita maana yake n kuwa hayupo tayari kukubal maamuz ya wananchi kuikataa ccm,
Mtu ambaye hawez kupanga wazimamiz vizur hadi aende saiti akasimamie mwenyewe, sasa rais akienda saiti sjui itakuwaje?
Mtu ambaye hana uzoefu wa uongoz, hajawah hata kuwa baloz wa nyumba kumi kwenye chama.
Mtu ambaye hajui kingereza vizuri
Mtu ambaye anatumia kiki ya kusalimia watu kwa makabila kwenye kampeni wakati watanzania tunaunganishwa kwa kiswahili.
Mtu ambaye anapiga push up jukwaan mbela ya watoto na wajukuu wkat hana hata historian ya kwenda Jim,
Mtu ambaye anadhihaki afya ya mwenzie wkat yy alienda kwa babu wa loliondo kugonga kikombe.
Mtu ambaye so and so and soooo.

Shumbi acha chuki binafsi na Magufuli, hazifai na zitaumiza afya yako.
Na usiwafanyie hivyo watu wengine katika maisha yako. Utakosa thawabu.

Umetumia nguvu nyingi kukwepesha hoja ya kile kimob cha makamanda akina Lema, Sugu etc kuongoza wizara kwa weledi na ufanisi. Hakuna mwenye kiwango cha ufanisi(kama waziri hapo) kama Magufuli aliyekuwa anaitwa 'jembe' na hao hao Makamanda.

Sasa tukiingia kwenye kiingereza. Ushamsikia Mbowe anahutubia kiingereza kwa zaidi ya dk 5? Ni majanga.
Sugu, Lema, dogo janja na wengineo wengi 'kidhungu' chao umekisikia???
Unamtukana magufuli hajui 'kidhungu' lakini umeona kila wizara jamaa akigusa anawashikisha watu adabu. Mwache achapie lakini hiyo haijawahi kumzuia kufanya kazi.
Sumaye anakiri wazi wazi na mara nyingi kwenye media kuwa timu ya utawala ya ukawa ni majanga na lazima wafundishwe na wasaidiwe na wanaccm.
Wewe unabishana na mabosi wako hapa na vikejeli vyako vya reja reja.

Hoja zingine umezijaza chuki binafsi sina hata haja ya kukujibu. Majibu yake yapo mengi hapa jukwaani. Jishughilishe uyapate.
 
F. Mbowe, Lisu, Lembeli, Bulaya, Myika, Mdee, Silinde, Msigwa, Mtatiro, Wenje, Mkosamali, Kafilila, Lema, na wengine wengi.. Mabadiliko ni lazima..
Kwa hiyo hao wanakazi gani ndani ya gari inayoendeshwa na Lowassa akisaidiana kwa karibu na Mzee Kingunge, Sumaye na Mwapachu?

Kumbuka Sumaye alisema anejiunga ili kuwafundisha kazi UKAWA kwa vile hawana uzoefu.
 
Acha kutudhalilisha Watanzania bwana. Kingunge na Sumaye, lowassa na Sumaye? Kweli? LABDA Tanzania yenye MAFISADI WALIOKUBUHU
Hao ndiyo wanamabadiliko wanasema watawakimbiza watanzania kimaendeleo katika speed ya 120Km/h.

Tanzania ina vituko!
 
Nadhani hujaelewa mantiki ya thread yangu!

Unachosahau ni kuwa, Mandela hakuwahi kuwa sehemu ya chama na serikali iliyokuwa madarakani katika kipindi chote cha maisha yake kabla hajapata nafasi ya kuwatumikia wanancho wote.

Hawa wazee wetu wameingia kwenye chama na serikali ya CCM wakiwa vijana wadogo mpaka wamekuwa vikongwe wakiwa bado ndani ya chama na serikali iliyoko madarakani.

Leo baada ya kuwa vikongwe wanatuambia wanataka mageuzi ya kuwakimbiza watanzania kimaendeleo katika speed ya 120 Km/h. Kama vile ninaota ndoto ya mchana!
Nimekuelewa mkuu tena sana bali hapa tunajenga hoja ili baadae kufika mahali tukasema ahaaa!
Sasa ni miaka 20 tangu tuanze chaguzi za vyama vingi. hata wakati wote huo CCM imekuwa ikitawala siasa za TZ watu wengi waneisikia CCM kila mahali zaidi kuliko chama kingine. Kwa mantiki hiyo watanzania wengi wana mtizamo wa ki CCM hata wale wenye umri chini ya miaka 20. wako walobobea sana na wengine kiasi.
Hii ina maana kwamba ni lazima wanaotetea mabadiliko watoke CCM. kinyume cha hapo tuwatafute kutoka nchi jirani
Mabadiliko ya fikra ndo kitu muhimu. Pia inawezekana kutokana na mfumo ambao mtu alikulia hakuweza kutekeleza ndoto zake na zaidi uzoefu na mabadiliko katika dunia na nchi kwa ujumla watu hupata ides mpya. Mimi naamini kuwa Hata CCM ingeweza kubadilika pia. Lakini je, ni rahisi kwa ccm kubadilika kwa kiwango cha mahitaji ya sasa na ya watz?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom