Elisabella
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 215
- 81
Hahaha ......Kwanini Bashe , Nchimbi, Jerry Slaa hawajitoi CCM wanatoka wazee ambao wakati wao ulishapita?
Nadhani hukumuelewa masolex..kuna watu mchana wapo ccm uck wapo ukawa..Thnk big bana
Hahaha ......Kwanini Bashe , Nchimbi, Jerry Slaa hawajitoi CCM wanatoka wazee ambao wakati wao ulishapita?
Hawa watakuwa kama nani katika serikali ya Lowassa?
Nadhani unaposema UKAWA unakuwa huitendei haki sheria ya vyama vya siasa nchini!Ukawa imezeeka ghafla.
![]()
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!
Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!
Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!
Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya km 120!
Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!
There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian
Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!
Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!
![]()
c
Umetumia kigezo gani kufikia hitimisho?naona umekosa cha kuandika sio, shame
Hapo nimetumia lugha-picha tu kwa hiyo usiwe na mchecheto. Ninaelewa wazi UKAWA sio chama cha siasa. Baada ya kuona wamepoteza dira CHADEMA waliamua kujificha nyuma ya muungano wa UKAWA; na kama hiyo haikutosha wameamua kukubali waliokuwa wanachama wa CCM kupeperusha bendera kwenye kampeni zao. Ndio siasa za upinzani Tanzania hizo.Nadhani unaposema UKAWA unakuwa huitendei haki sheria ya vyama vya siasa nchini!
Hakuna chama cha siasa kinachoitwa UKAWA!
Kama una maana ya CHADEMA pia utakuwa huitendei haki CHADEMA.
CHADEMA kama chama haijazeeka bali fikra na malengo ya viongozi wakuu wa CHADEMA kwa sasa ghafla yanajidhihirisha kuzeeka!
Hii dhana ya kuitana mbuzi haiwezi kujibu hoja mbadala wala kubadilisha ukweli wa hoja.We mbuzi ulitakaje kwani?wawe nyuma yako
Una maana gani?Lowasa bana. Atasababisha mkapa ajinyee bureee
Hebu ipange hiyo safu katika wizara 8 muhimu.
Kisha uniambie hiyo kasi ya kumzidi mlugo itatoka wali na kwa nani.
Muongeze na Lema na Sugu hapo juu.
Sumaye keshasema hakuna wanaojua utumishi wa umma huko.
Speed 120.
Utashangaa
Nisaidie na wewe kushangaa au kuota!Hebu ipange hiyo safu katika wizara 8 muhimu.
Kisha uniambie hiyo kasi ya kumzidi mlugo itatoka wali na kwa nani.
Muongeze na Lema na Sugu hapo juu.
Sumaye keshasema hakuna wanaojua utumishi wa umma huko.
Speed 120.
Utashangaa
unamdanganya nani, wewe mpiga debe wa mr push-up????? Kibaki na wazee wenzake huko kenya, walimwacha moi na kanu yake, na kujiunga na upinzani, na matokeo ya spidi 120 yalionekana. Nenda kenya hata leo ukaulize, watakwambia kazi za kibaki aliyekuwa hataki maneno mengi, kama lowassa. Hatudanganyiki!!!!!!!!!! Tumekwisha kuamua, rais wetu ni lowassaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!