Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

Lumumba naona mmecharuka sana.kiasi kwamba umekosa cha kuandika.nenda ukauze ngadu kijana.
 
Huku boda boda hampakii mtu wa ccm, alafu unasema ukawa hambagui watu, kwa taarifa yako ubaguzi umeanza na chadomo, ccm hawana hiyo, hata dini, mgombea alienda kanisani kuomba kura kwa walutheri, hatariiiiiii, hapa ni job tuuu!!
 
Hii ni kejeli bila shaka. Afrika kusini mpya ilifana chini ya Mandela aliyekuwa na umri wa miaka zaidi ya 70. hawa unaowabaini kama wazee wanachochea fursa ya mabadiliko kwa vijana. Mawazo yao ndio yana matter. The vision and mission!
Nadhani hujaelewa mantiki ya thread yangu!

Unachosahau ni kuwa, Mandela hakuwahi kuwa sehemu ya chama na serikali iliyokuwa madarakani katika kipindi chote cha maisha yake kabla hajapata nafasi ya kuwatumikia wanancho wote.

Hawa wazee wetu wameingia kwenye chama na serikali ya CCM wakiwa vijana wadogo mpaka wamekuwa vikongwe wakiwa bado ndani ya chama na serikali iliyoko madarakani.

Leo baada ya kuwa vikongwe wanatuambia wanataka mageuzi ya kuwakimbiza watanzania kimaendeleo katika speed ya 120 Km/h. Kama vile ninaota ndoto ya mchana!
 
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!

Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!

Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya 120 Km/h!

Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!

There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian

Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!

Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!

12109036_1511170319203725_7893429866689020787_n.jpg

c

Sema unayoyataka wewe. Mimi hapa ni kazi tu.
 
Lowassa unasubiri kuapishwa tu
Kama kura yako ni mwanzo na mwisho basi atakuwa anasubiri kuapishwa, lakini kama kura yako ni moja kati ya kura zaidi ya million 22, haitakuwa kosa kupuuza angalizo lako!
 
Hapo nimetumia lugha-picha tu kwa hiyo usiwe na mchecheto. Ninaelewa wazi UKAWA sio chama cha siasa. Baada ya kuona wamepoteza dira CHADEMA waliamua kujificha nyuma ya muungano wa UKAWA; na kama hiyo haikutosha wameamua kukubali waliokuwa wanachama wa CCM kupeperusha bendera kwenye kampeni zao. Ndio siasa za upinzani Tanzania hizo.
Ninashukuru kwa ufafanuzi.

Kwa sasa wanasema wao ni watu wa mabadiliko. Mimi ninadhani hili neno mabadiliko lina maana nyingine ambayo wanaijua wao wenyewe na hawataki kutueleza.

Mabadiliko gani ya kimaendeleo kwa speed ya 120Km/h tunaweza kuyapata kutoka kwa hawa wazee wetu walioingia CCM na serikalini wakiwa vijana wadogo mpaka wamekuwa vikongwe wakiwa ndani ya CCM na serikali yake.

This is fun to say the least!
 
Kuchagua Ccm inakubidi uwe na akili ya kiuwenda wazimu
 
Ninashukuru kwa ufafanuzi.

Kwa sasa wanasema wao ni watu wa mabadiliko. Mimi ninadhani hili neno mabadiliko lina maana nyingine ambayo wanaijua wao wenyewe na hawataki kutueleza.

Mabadiliko gani ya kimaendeleo kwa speed ya 120Km/h tunaweza kuyapata kutoka kwa hawa wazee wetu walioingia CCM na serikalini wakiwa vijana wadogo mpaka wamekuwa vikongwe wakiwa ndani ya CCM na serikali yake.

This is fun to say the least!
Ninachokiona ni wao kushindwa kwenye huu uchaguzi licha ya makelele yao mengi. Na baada ya hapo upinzani uliojengwa Tanzania kwa zaidi ya miongo miwili utakuwa umerudishwa nyuma kwa miaka mingi sana. Hapo ndipo CCM, baada ya kujishtukia na kujipanga upya, wataendelea kutawala nchi hii kwa kipindi kirefu kijacho.
 
Hawana jipya. Walisha pewa nafas kibao za kuwatumikia watanzania hamna lolote walilofanya. Tujaribu magufuli.
Wamekuja na political gear ya mabadiliko nje ya CCM baada ya safari ya matumaini kuishia kwenye Kamati Kuu ya CCM!

Tanzania tuko mbioni kuingia kwenye vitabu vya maajabu ya dunia!
 
Tukubali tu CCM hali ni Ngumu.Hao vigogo na walioko nyuma Yao si mchezo.Kweli huu mwaka wa upinzani.Kila dalili Inaonyesha hivyo. Wanao beza wanajiliwaza tu.
 
Unamdanganya nani, wewe mpiga debe wa Mr Push-up????? Kibaki na wazee wenzake huko Kenya, walimwacha Moi na KANU yake, na kujiunga na upinzani, na matokeo ya spidi 120 yalionekana. Nenda Kenya hata leo ukaulize, watakwambia kazi za Kibaki aliyekuwa hataki maneno mengi, kama Lowassa. HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!! TUMEKWISHA KUAMUA, Rais wetu ni Lowassaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Mtaota sana ila Ikulu si rahisi kama mnavyojiaminisha maana mnaweza kuuzwa na mkauzika mkidhani mabadiliko kumbe ni ya kuwadidimiza!!!!Kuna wagombea zaidi ya watatu wa uraisi na usijiaminishe sana kuwa chama chako au mgombea wako atashinda kwa kuangalia wanaokuja katika mikutano ya chama chako!!! Tafakari kuwa na subira usije ukapata maradhi ya presha au mshituko au kushindwa kula chakula ulotafuta kwa jasho lako kwa mgombea wako kushindwa!!!!
 
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!

Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!

Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya 120 Km/h!

Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!

There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian

Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!

Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!

12109036_1511170319203725_7893429866689020787_n.jpg

c

Waaau!
Mababu hawa wachovu ndiyo walete mabadiliko? Kingunge alihongwa parking system na Mwapachu ana % yake kukodisha nyumba za Lowassa kea USD wakato akiwa SecGen wa EAC. Yeah, mabadiliko.
WM
 
ASKOFU KAKOBE A FICHUA SIRI KUBWA, KWA NINI UCHAGUZI MKUU UNALAZIMISHWA KUFANYIKA SIKU YA IBADA YA WAKRISTO WENGI ( JUMAPILI).

ANAELEZEA JINSI ALIVYO IANDIKIA BARUA TUME YA UCHAGUZI TAREHE 6/02/2015 AKIOMBA UTEUZI WA SIKU YA UCHAGUZI UZINGATIE UHURU WA KUABUDU NA KUEPUKA KUICHAGUA JUMAPILI, JUMAMOSI NA IJUMAA AMBAZO HUTUMIWA KWA IBADA. PIA ALITOA MIFANO YA NCHI AMBAZO ZINAZINGATIA UHURU WA KUABUDU KWA KUPANGA/ KUTEUA SIKU MAALUM YA KITAIFA KWA AJILI YA ZOEZI HILO MUHIMU, SIKU AMBAYO HAINA MUINGILIANO NA IMANI ZA WATU WO WOTE. ALITAJA MADHARA YA KUFANYA UCHAGUZI SIKU YA JUMAPILI, KWAMBA NI PAMOJA NA WATU WENGI KUSHINDA KUSHIRIKI KUPIGA KURA KWA SABABU YA UMUHIMU WAO KATIKA NYUMBA ZA IBADA KWA MAJUKUMU MBALIMBALI. PIA, WAKRISTO WENGINE WANANYIMWA HAKI YAO YA KUABUDU KUTOKANA NA NAFASI ZAO KATIKA ZOEZI ZIMA LA UCHAGUZI. WASIMAMIZI, WALINZI, MAWAKALA WA VYAMA VYA SIASA N.K, BAADHI YAO NI WAKRISTO, HIVYO WANANYINWA HAKI YA KIKATIBA YA KABUDU.

BAADA YA TUME KUPOKEA BARUA YA ASKOFU KAKOBE, WALIMJIBU KWA BARUA KUWA WATALISHUGHULIKIA OMBI LAKE. TUME YA UCHAGUZI WALIANZA KULISHUGHULIKIA SUALA HILO KWA VIKAO NA WALILUWA WAKIMJULISHA ASKOFU HATUA KWA HATUA. BAADAYE, WALIPELEKA MAPENDEKEZO YA SIKU KATI YA JUMANNE AU ALHAMISI ILI SERIKALI IKUBALI IWE SIKU YA KITAIFA YA UCHAGUZI LAKINI SERIKALI KWA SABABU WANAZOZIJUA WAKAKATAA OMBI HILO KWA KUSEMA KWAMBA HAWAWEZI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA ASKOFU MMOJA WA DHEHEBU MOJA TU.

MAJIBU WALIYOTOA NI MAJIBU YA KISIASA NA UCHAGUZI UNALAZIMISHWA KUFANYIKA JUMAPILI KWA FAIDA ZA KISIASA TU!

KUTOKANA NA OMBI HILO LA WAKRISTO KUKWAMA, ASKOFU ZACHARY KAKOBE ANAUNGANA NA MAASKOFU WA MAKANISA YA KIKRISTO WALIOKWISHA TANGAZA KUWA WATAHAMISHIA RATIBA ZA IBAFA ZAO ZA JUMAPILI SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 24/10/2015 ILI TUKUTANE NA TUME KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA SIKU YA JUMAPILI YA UCHAGUZI 25 OKTOBA. KWA HIYO, MAKANISA YOTE YA FULL GOSPEL (F.G.B.F) NCHI NZIMA, ZAIDI YA 1000, YATAFANYA IBADA ZAO SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 24/10/2015 BADALA YA JUMAPILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UCHAGUZI. ALISISITIZA SANA JUU YA UMUHIMU WA KUSHIRIKI KUPIGA KURA BILA KUKOSA AKISEMA KUWA KUPIGA KURA NI KUFANYA KAZI YA MUNGU. TUNAFANYA KAZI PAMOJA NA MUNGU ( WARUMI 8:28). ALISEMA HATA WAGONJWA TUWAPELEKE KUPIGA KURA, WATAPONEA KITUONI HUKO HUKO. ALISEMA KAMA KUMUOKOA KONDOO ALIYETUMBUKIA SHUMONI SIKU YA SABATO SIYO KOSA; KUIACHIA JUMAPILI KWA AJILI YA KUCHAGUA VIONGOZI WAZURI WENYE HOFU YA MUNGU NI ZAIDI SANA. KUMBUKA UCHAGUZI MKUU UNAFANYIKA MARA MOJA TU KATIKA MIAKA MITANO. ALISISITIZA KUWA NI MPANGO WA SHETANI KWAMBA WAKRISTO TUSISHIRIKI UCHAGUZI NA NDIYO MAANA KWA MIAKA MINGI SERIKALI IMEISHIKILIA JUMAPILI BILA KUIACHIA LICHA YA MALALAMIKO MENGI KWA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA KIKRISTO. ALISEMA TUUPINGE MPANGO HUU WA KUZIMU, KWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MAPEMA ASUBUHI.

ALIYASHUKURU BAADHI YA MADHEHEBU YALIYOTANGAZA KUFANYA IBADA ZAO JUMAMOSI ILI WAKRISTO WENGI WASHIRIKI KIKAMILIFU BILA KIKWAZO. ALIYATAJA BAADHI KUWA NI BAADHI YA DAYOSISI ZA KATOLIKI, KKKT, MCH. GWAJIMA MAKANISA YAKE YOTE, MCH. LUSEKELO, BAADHI YA MANABII NA MADHEHEBU KADHAA AMBAYO HAKUYAJATA. ALIOMBA WACHUNGAJI, MAASKOFU NA MAPADRI, KUFUATA MIFANO HIYO ILI TUMPINGE SHETANI ANAYENG'ANG'ANIA JUMAPILI. MAELEZO MENGI YAPO KWENYE AUDIO KATIKA LINK HAPO CHINI
https://www.dropbox.com/s/tr3a39lj5...CHAGUZI MKUU 2015 KUFANYIKA JUMAPILI.m4a?dl=0

TUME YA UCHAGUZI SIYO YA KULAUMIWA KATIKA HILI. KWA MUJIBU WA MAELEZO YA ASKOFU KAKOBE ALIYOYATOA JUMAPILI YA TAREHE 11/10/2015, ALISEMA NI SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI, NDIYO INAYOLAZIMISHA UCHAGUZI KUFANYIKA HUMAPILI KWA SABABU WANAZOZIJUA WENYEWE. MALALAMIKO YA WAKRISTO NI UPUUZI KWAO.

ASKOFU ZACHARY KAKOBE ALISEMA; BAADA YA MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE KUTANGAZA KUWA KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA ITAFANYIKA TAREHE 30/04/2015 SIKU YA ALHAMISI, KATIKA HOTUBA YA MWAKA MPYA. NDIPO KANISA LA FULL GOSPEL NCHI NZIMA, LILIFANYA IBADA MAALUM YA SHUKRANI KWA MUNGU, ILIYOAMBATANA MAOMBI YA SHUKRANI KWA MUNGU KWA SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KUIACHIA JUNAPILI ISIWE SIKU YA KUPIGA KURA, HIVYO NCHI NZIMA WASHIRIKA WOTE WALIVAA TISHETI ZENYE UJUMBE MAALUMU WA MAANDISHI UNASEMA, "UCHAGUZI USIFANYIKE JUMAPILI". BAADA YA TUME YA UCHAGUZI KUONA WATU WENGI WAKIWA NA TISHETI ZENYE UJUMBE HUO, PAMOJA NA KELELE ZILIZOPIGWA MITANDAONI ZIKIPINGA UCHAGUZI KUFANYIKA JUMAPILI, NDIPO WALIAGIZA MJUMBE KWA ASKOFU KAKOBE KUMTAKA APELEKE MALALAMIKO/ MAOMBI KWENYE TUME YA UCHAGUZI, KATIKA MAANDISHI KWANI WAO HUSHUGHULIKIA MAANDISHI. ASKOFU ALIWAANDIKIA BARUA TAREHE 06/02/2015 MAPEMA SANA. IKUMBUKWE KWAMBA TAREHE YA UCHAGUZI ILITANGAZWA BAADAYE SANA BAADA YA KUPUUZWA KWA BARUA YA ASKOFU KAKOBE NA MALALAMIKO YA WAKRISTO WENGI AMBAYO WAMEKUWA WAKIYATOA KWA NJIA MBALIMBAL I.

NB: SAMBAZA UJUMBE HUU ILI UWAFIKIE VIAKRISTO WENGI, ILI WOTE KWA PAMOJA TUKATAE MPANGO WA KUZUMU, WA SHETANI ASIYETAKA WAKRISTO WENGI WAJITOKEZE KUPIGA KURA. LINK HII NI NUHIMU SANA KWAKO. DOWNLOAD NA USIKILIZE KWA UTULIVU NA UWATUMIE WENGINE KATIKA SIMU ZAO. https://www.dropbox.com/s/tr3a39lj5...CHAGUZI MKUU 2015 KUFANYIKA JUMAPILI.m4a?dl=0[/QUOTE

Mtapata sana shida kila mahali kuanzia makanisani hadi misikitini lakini kama una imani kwa mungu unatakiwa kujua kuwa mungu tayari ameshamchagua ambaye ameona itakuwa faida kwetu watanzania maana tutazidi kuhamasishana na hatimaye tutaanza kusema mengi zaidi na hata kukufuru!!! Tuombe uchaguzi umalizike kwa amani na atupe kiongozi mzalendo, asiye na doa la kihalifu na mwenye nia ya kweli ya kuwatoa Watanzania hapa tulipo na tuombe mungu atuepushie mbali na wagombea waliovaa vazi la kondoo kumbe miyoni mwao ni chui ama mafisi wanaotaka kuja kufilisi nchi yetu au kuleta vurugu kwa tamaa ya maisha yao!!! Maana tulio wengi hatuna mahali pa kukimbilia na hatujui pa kuanzia!!!
 
Lowasa ni mwanaume kweli kweli. Huyu ataleta mabadiliko tena ya uhakikika. Tumechekewa na waliojidai eti maisha bora kwa kila mtanzania. Yako wapi? Hawa wazee wamekubali kubadilika. Vijana tunahangaika kumfuata Nape na Kinana. Ni miaka miwili tu tembo Tanzania watakuwa historia. Anayewaapuuza hawa wazee atakuwa na mtindio wa ubongo. Hawa ni mashujaa waliokubali kuikataa CCM hadharani. Wewe unayejidai eti Magufuli atakuletea mabadiliko subiri utayaona kwenye unafiki wako wakati unatibiwa India.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom