Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!

Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!

Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kimaendeleo kwa speed ya 120 Km/h!

Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!

There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian

What changes are we going to get from these senior citizen/pensioners?

Hayo ndiyo mabadiliko tunayoyataka?

Unreasonable haste is the direct road to error!

Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!

12109036_1511170319203725_7893429866689020787_n.jpg

c

MABADILIKO FEKI, HAPO NAMUONA MR "ZERO", "FISADI PAPA aka MZEE WA KUJICHATO", "MCHAWI" NA...........
 
Mleta uzi una akili changanyikeni kama za akina Dr. Slaa, MMM, et al ambao kwa asili ni wana ccm mamboleo...
Wananchi wameshaamua... wewe ni nani hadi ukatae..??
 
Cdm na ukawa tunahadhina kubwa ya wachapakazi, hao wazee ni washauri tu..
 
F. Mbowe, Lisu, Lembeli, Bulaya, Myika, Mdee, Silinde, Msigwa, Mtatiro, Wenje, Mkosamali, Kafilila, Lema, na wengine wengi.. Mabadiliko ni lazima..
 
Acha kutudhalilisha Watanzania bwana. Kingunge na Sumaye, lowassa na Sumaye? Kweli? LABDA Tanzania yenye MAFISADI WALIOKUBUHU
 
Ukombozi umefika Tz, angalau na sisi wenye nchi tuanze kuifurahia keki ya Taifa, thanx God of Heaven!
 
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!

Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!

Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!

Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kimaendeleo kwa speed ya 120 Km/h!

Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!

There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian

What changes are we going to get from these senior citizen/pensioners?

Hayo ndiyo mabadiliko tunayoyataka?

Unreasonable haste is the direct road to error!

Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!

12109036_1511170319203725_7893429866689020787_n.jpg

c

chief, you are definitely missing the whole plot.

what is unfolding now is a people-driven push for change.....ie to get CCM off the corridors of power!

Lowasa, Sumaye, Kingunge, etal - these are just a side show, chief....
 
Kuna Waziri mkuu hapo kati ya hao wanne, nawengine mawaziri kwenye sekta nyeti.....Ukawa tulieni wazee wawafundishe kazi, wawaoneshe jinsi mabadiliko yanavyozungushwa, sio kene mikono tu....
 
Mawaziri ni viongozi wa kisiasa .Tambua hilo kwanza.
 
Katika hao kuna waliokuwa na nafas za juu sana. Ni mwapachu tu hajawahi kuwa juu sana.
Wengine hao wamewah kuwa na madaraka na nafas nyet sana lakin wapi hamna kitu

Waliishia kupiga rushwa au kuchekea rushwa ikipigwa

Hizi ndizo hoja za msingi.

Nini walichonacho ambacho ni kipya kwa sasa hata kama ukiweka kando kashfa zao wakati wakiwa viongozi wa juu kabisa nchini.
 
Na hao vibabu wote wamepaona pachungu baada ya magufuli kuteuliwa.
Wanajua hana ushwahiba na haangalii sura vidili vyao kwishney ha ha ha.
Wanasema hata walipokuwa CCM walitaka mageuzi!

Hawasemi ni mageuzi gani waliyataka ndani ya CCM kwa sababu hatukuwahi kuwasikia wakitamka neno mageuzi au kuionya CCM kuhusu kupuuza ajenda zao.

Hata mageuzi wanayoyasema kwa sasa ni vague. Neno mageuzi linatumika kama justification ya kuomba kura.

Mawazo mapya wameyapata baada ya kuzeekea ndani ya CCM. This is fun!
 
  • Thanks
Reactions: nao

Similar Discussions

Back
Top Bottom