Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Vitambulisho hivyo so wamelazimishwa na jiwe viuzwe?wanatii maagizo

Inapaswa kutumia hekima - "wakati fulani aliwahi kumtaka waziri mmoja kutumia hekima kabla hajafikia maamuzi ya kubomoa nyumba zilizojengwa kinyume cha sheria"

watumie hekima hiyo hiyo!
 
Kuna mambo mengi ya kutafakari zaidi ya kitambulisho kwenye picha hii:

1. Mazingira ya biashara. Angalia kuna tope kwa chini.
2. Aina ya biashara.
3. Sehemu ya biashara.
4. Mtoto mzuri kwa nyuma ya dada anaekaguliwa kitambulisho mwenye kibegi kifuani.

Je, wazo hili la vitambulisho lina maana gani kwa wanaopigana kupata hata 1000 ya kupunguza matatizo nyumbani??
 
Lengo ni kuongeza wigo mapato japo hii ya vitambulisho ni tata sana! Suluhu ni indirect tax,viwandani,bandarini,mipakani.Tukikaa kimya inakuja kila raia above 18 yrs lazima awe na direct tax.
Umesema kweli mkuu maana sasa wanaturudisha kwenye ile kitu inaitwa Musoro ya kichwa
 
Kuna mambo mengi ya kutafakari zaidi ya kitambulisho kwenye picha hii:

1. Mazingira ya biashara. Angalia kuna tope kwa chini.
2. Aina ya biashara.
3. Sehemu ya biashara.
4. Mtoto mzuri kwa nyuma ya dada anaekaguliwa kitambulisho mwenye kibegi kifuani.

Je, wazo hili la vitambulisho lina maana gani kwa wanaopigana kupata hata 1000 ya kupunguza matatizo nyumbani??
Lingekuwa na maana kama wangekuwa wanavitoa bure kwa hao wanyonge
 
Hapo sasa wanatafuta muhali na watakutana nao
Ilemela Mwanza hasa yaliyo makao makuu ya wilaya na manispaa Buswelu jamaa wanapita hadi mida ya usiku kukagua vitambulisho na kuviuza kwa nguvu kwa mafundi welding
 
Back
Top Bottom