Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
......Angalia hao wengine wanavyosikitika.
...... Wacha tu Mkuu
......Angalia hao wengine wanavyosikitika.
yaaani wote wawe ma dc hata muro?Hao wengine wanasikitika - Rais kuna watendaji watamharibia kura za 2020
yaaani wote wawe ma dc hata muro?
Subiri wakati wa uchaguzi utamuona anavyoimba kwa bidii na khanga na kilemba cha yellow na green.Huyu mdada mwingine ameshika tama kunakitu anakitafakari halafu hajui akapatie ufafanuzi wapi .
hekiima hawezi kuwa nazo jerry! unaikumbuka ile case yake ya bastola/rushwa? kwa wenzetu yule asingepata hata uwenyekiti wa kitongoji! sawa na kangi na murad sadick at leo kangi wazir nae hapendi rushwa! utani na upuuzi huu mpaka lini?Yes, anafaa (yu wa pande mbili dhaifu na mweledi) kama binadamu yeyote - kinachopaswa ni matumizi ya hekima tu
Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Aibu sana eti muro nae mkuu wa wilaya"baba asikofu tunasikitika kuwa hatujawaandaa vijana kuwa viongozi ndio maana haya yote yanatokea*" eti jeri meru nae ni kiongozi.
Pole mkuu.Machozi yamenibubujika!
Kwani mwanzilishi wa hili songombingo ni nan, tuanzie hpoInapaswa kutumia hekima - "wakati fulani aliwahi kumtaka waziri mmoja kutumia hekima kabla hajafikia maamuzi ya kubomoa nyumba zilizojengwa kinyume cha sheria"
watumie hekima hiyo hiyo!
hekiima hawezi kuwa nazo jerry! unaikumbuka ile case yake ya bastola/rushwa? kwa wenzetu yule asingepata hata uwenyekiti wa kitongoji! sawa na kangi na murad sadick at leo kangi wazir nae hapendi rushwa! utani na upuuzi huu mpaka lini?
Kuna vitu vinatia aibu sana.Hii ni kodi ya kichwa na si kitambulisho. Mkuu wa wilaya kukimbizana na kinamama kwa sababu ya elfu 20,000/=.
Angekuwa na huruma,basi angewalipia hao kinamama.
NB:
Walishangilia sana waliporuhusiwa wafanye biashara popote wapaonapo panawafaha,na waliona kuwa Rais ni mtetezi wao. Leo hayo ndo matokeo.
Mitaa yangu hyo nilishawashuhudiaIlemela Mwanza hasa yaliyo makao makuu ya wilaya na manispaa Buswelu jamaa wanapita hadi mida ya usiku kukagua vitambulisho na kuviuza kwa nguvu kwa mafundi welding