Afisa biashara hawezi kutoa leseni bila ya kumpelekea Tax clearance kutoka TRANionyeshe mahali nimesema TRA hawahusiki, nimesema sio kila kitu kinafanywa na TRA mfano mambo ya leseni za biashara zinatolewa na Halmashauri kwenye ofisi ya biashara.
Leseni ya biashara ili uipate lazima uanzie TRA haitolewi tuu na ofisi ya biashara ya halmashauri,post yako ya pili ilikuwa sahihiNionyeshe mahali nimesema TRA hawahusiki, nimesema sio kila kitu kinafanywa na TRA mfano mambo ya leseni za biashara zinatolewa na Halmashauri kwenye ofisi ya biashara.
Hivi huyu Jery Muro si ndiyo yule aliyekuwa akiwapiga picha Polisi wa traffic wakipokea rushwa au huyu ni mwingine? Nakumbuka kama Polisi nao walimkamata na rushwa pamoja na pingu. Hivi ile haikuwa jinai kweli!!!? Hivi kwa nini hakufungwa huyu, au kwenye utawala huu makokap ndio wanaula!!!?
Inasikitisha Sana. Katibu Mkuu ana haki ya kulalama kuwa CCM haina vijana waliofundishwa Sanaa ya uongozi, hivyo wamebaki kuokoteza akina Jerry Muro and the like!!!Ndiyo huyo huyo na wala hajabadilika
Inasikitisha Sana. Katibu Mkuu ana haki ya kulalama kuwa CCM haina vijana waliofundishwa Sanaa ya uongozi, hivyo wamebaki kuokoteza akina Jerry Muro and the like!!!
Aisee douh! hiyo elfu ishirini anaipata baada ya wiki hapo matumizi mengine bado.looh kweli magu kafulia
Mwambie huyo Nyumbu. Mtoto wangu nilimuanzishia saloon ya kusuka kwenye fremu zangu. Nikamshauri akachukue kitambulisho wilayani. Akaambiwa vimeisha subiri. TRA wakaja mitaani kwamba huna Tin number. Akawambia nasubiri kitambulisho cha Rais kwa kuwa mtaji wangu hauzidi 4M. Wakasema sisi TRA hatujui hilo lipa kodi. Nikamshauri asigombane na Serikali. Akaenda TRA wamemkadiria mapato ya Tshs. 150000. Nimemlipia kwa kuwa hawezi kupata leseni bila Tax Clearance. Asante awamu ya Tano ....Afisa biashara hawezi kutoa leseni bila ya kumpelekea Tax clearance kutoka TRA
Lakini bado kuna mijitu inaimbishwa bila kujijua au haielewi kitu inaitikiaMwambie huyo Nyumbu. Mtoto wangu nilimuanzishia saloon ya kusuka kwenye fremu zangu. Nikamshauri akachukue kitambulisho wilayani. Akaambiwa vimeisha subiri. TRA wakaja mitaani kwamba huna Tin number. Akawambia nasubiri kitambulisho cha Rais kwa kuwa mtaji wangu hauzidi 4M. Wakasema sisi TRA hatujui hilo lipa kodi. Nikamshauri asigombane na Serikali. Akaenda TRA wamemkadiria mapato ya Tshs. 150000. Nimemlipia kwa kuwa hawezi kupata leseni bila Tax Clearance. Asante awamu ya Tano ....
Hivi ni kitambulisho gani hakuna hata jina la muhusika?
Kwani mwanzilishi wa hili songombingo ni nan, tuanzie hpo
Angalau wajue kuwa pamoja na Mbwembwe zote na kubomoa Nyumba za Watu Construction of the road from Ubungo to Kibaha has been unceremoniously suspended until further notice....
Hakuna kitambulisho hapo huo ni wizi kam wizi mwingine tu mradi wa watu huo serkal haina pesa miradi mingi imkwamia njiani shida tupu huku wana kazi yankuanzisha mwingine mipya waonekane wao ndo viongozi bora kuwahi kutokea huku wananchi tukipita ktk kipindi kigumu hakijawahi kuwako toka nchi kupata uhuru.
Mbona mama hapo ameshapata kitambulisho chake?,anachofanya Dc,ni kukisoma tuHapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge