Hii ndiyo sababu jamaa hataki bunge liwe live

Hii ndiyo sababu jamaa hataki bunge liwe live

Mbona azam extra wanaonyesha live acheni swaga zenu
 
f688f7fbe662781f7100ab351f9c9166.jpg


Karithi mikoba ya mjomba wake (Steven Wassira).
 
Wana mtama watajuta kuchagua wa mjini, bora wasingepeleka muwakilishi kipindi hiki, huyu jamaa kazoea kulala lumumba akisubiri kuamshwa na vigelegele vya kina mama wa uwt, Kazi za serikali haziwezi.
 
Nape ni kichwa mtake msitake.huo ni wivu tu hiyo nafasi hamwezi pata
 
Nape ni kichwa mtake msitake.huo ni wivu tu hiyo nafasi hamwezi pata
Pole, hata wenyewe wanajua hawawezi ndio maana wanakimbilia majimbo ya wanyonge, waliokubali kuongozwa na yoyote wa ccm, kwani nape anaishi mtama? Kwa nini hakugombea jimbo lolote Dar mahali yalipo makazi yake? Jiongeze acha kusifia kila jamabo.
 
Back
Top Bottom