DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Basi kama ni hivyo...hakika utakuwa ni jipu!Safi sana kazi nzuri. hii thread yako nai rate kwenye A+
Basi kama ni hivyo...hakika utakuwa ni jipu!Safi sana kazi nzuri. hii thread yako nai rate kwenye A+
vipande kama hivi vinashusha status ya JAMII FORUM THE HOM OF GREAT THINKERS,au tumeingia "panya road"?Bado kuota anaolewa maana kujichubua tayari.
Alifuzu kutukana wakati wa kampeni hakuna sifa nyingineUmejuaje?HAna hata elimu ndogo tu ya kujua kwamba SERIKALI haina mandate ya kulisimamia BUNGE.NAjiuliza aliyempa UWAZIRI aliangalia kigezo cha kupata ZERO form four,sielewi kwa kweli
Mkuu! wapumbavu na malofa wanajulikana vizuri kwenye siasa za TZ...Cc benjaminNani mpumbavu Nape au mleta mada..
Mkuu mbona unaleta ushirikina humu tena?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Mkuu mbona unaleta ushirikina humu tena?
Lakini umepata baraka za jukwaaUzi huu dhaifu sana
Kupata baraka ni kitu kingine na ubora as ujenzi wa hoja ni kitu kingine. Kwa mfano wapuuzi wa Yanga wanaong'ang'ania kujenga kwenye tope wamepata baraka za wapuuzi wenzao, lakini hoja juu ya ujenzi huo ni ya kipuuzi.Lakini umepata baraka za jukwaa
Kumbe wewe ni Mnyama mkali kama mimi, ngoja wavaa kanda mbili wajeKupata baraka ni kitu kingine na ubora as ujenzi wa hoja ni kitu kingine. Kwa mfano wapuuzi wa Yanga wanaong'ang'ania kujenga kwenye tope wamepata baraka za wapuuzi wenzao, lakini hoja juu ya ujenzi huo ni ya kipuuzi.