Huu ndo ukweli ambao wapinzani hawataki hata kuusikia.Ukawa hawatakaa wampende Nape ndio kiboko yao.
Walipeleka pesa Mtama ili ashindwe lkn bado akaibuka kidedea kwa kura nyingi.
Aliwahidi lowasa hawezi kuwa rais ,ndani na nje ya ccm ikatimia.
Huyu ndio Jembe Nape
Atii!! TFF ni kifupi cha nini tena alisema...HILI JAMAA BURE KABISA
Mpiga gitar mzur sna anajua ndo mana kapewa wizara hiyoUmejuaje?HAna hata elimu ndogo tu ya kujua kwamba SERIKALI haina mandate ya kulisimamia BUNGE.NAjiuliza aliyempa UWAZIRI aliangalia kigezo cha kupata ZERO form four,sielewi kwa kweli
Ukawa hawatakaa wampende Nape ndio kiboko yao.
Walipeleka pesa Mtama ili ashindwe lkn bado akaibuka kidedea kwa kura nyingi.
Aliwahidi lowasa hawezi kuwa rais ,ndani na nje ya ccm ikatimia.
Huyu ndio Jembe Nape
Ayaa!!! kumbe ana haka kaudhaifu,si ndio vikao vya kwanza tu hivi,haya
Ndio ni mswahili ila amewanyoa UKAWA.
Hapo tu kasoma diploma india, angekuwa professa watu mngekimbizana humuHakuwa amelala. Alikuwa anasikiliza maneno ya ZZK. Ila alikuwa anaonekana (reaction) kuonesha dharau ya hali ya juu kwa maelezo ya ZZK au kuonesha hali ya kiburi.
Jimbo la Mtama ameshinda ukawa??