Hii ndiyo sababu inayonifanya nitake Taifa Stars ifungwe na Morocco

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,622
Reaction score
1,864
Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao wamezikwa wapi, na wengine waliouwawa kufuatwa majumbani kuchukuliwa na kuuwawa pasipo kushiriki maandamano.

Serikali haijawahi hata kufikiria kuwalipa fidia Ndugu wa marehemu, lakini wameona ni Bora kuwalipa wachezaji wa Taifa Milioni 500, hili kwangu limeniumiza Sana, na hii Ina maanisha Serikali hii haijali kabisa wananchi kutekwa, kupotezwa na kuuwawa na hapa wananchi hususani watanganyika mnapaswa mshituke mnaongozwa na mtu wa aina gani, anaua na bado anajitokeza mbele ya runinga kuwapa salamu za Mwaka Mpya na bado anawaambia kuunda tume ya Maridhiano, yaani muuaji anaunda tume ya uchunguzi na ya Maridhiano, hivi anawaona watanganyika ni mambumbu???

Kwa sababu hiyo, itoshe kusema MUNGU usikie kuomba kwangu siku ya leo Taifa Stars iweze kufungwa na kutolewa katika mashindano ya Afcon, na wale wachezaji waliopokea kiasi hicho cha fedha ikawe hasara kwao na familia zao, ila wabariki wale wachezaji na familia zao watakaopeleka fedha hizo kwenye nyumba za watoto wa mayatima ili ziweze kusaidia kuwalipia ada mayatima Hawa katika kipindi hiki cha mwezi wa January wa ulipaji wa ada.

Pia MUNGU tunakuomba ndani ya mwezi huu huu wa January ndani ya Mwaka huu huu wa 2026, yule aliyetoa agizo kwa watanzania wenzetu waweze kuuuwawa kwa kupigwa risasi nae uweze kusitisha punzi yake na uhai wake pia.

Amen
 
Manyonyo anawaza haya maduro.Taifa star wakamfate makonda
FB_IMG_1767532058135.jpg
 
TUMEAMUA AMAN
REFA KAAMUA AMAN
MTUACHE PLS NA AMANI YETU
 
Kama umekaa, ukatafakari na kuja na swali, ' hivi amewaona Watanganyika ni mambumbumbu?'
Basi ujue huo ndio uhalisia, si tu kawaona, bali Watanganyika ni mbumbumbu!
 
Back
Top Bottom