HII NDIYO LIMBWATA KALI KULIKO LIMBWATA ZOTE!!!!

Mtoa mada kuna sehemu umenichanganya; umesema anaweka kwenye mlango dawa ukitoka kitu haisimami je vipi kama ukitaka kumgonga yeye mwenyewe aliyekuwekea dawa guest au mkiwa safarini je goma halitaamka? na je kama mkihama hiyo nyumba ndio jogoo hawiki tena? Maswali fikirishi
 
Limbwata kali lipo mkoa wa Kagera na Miji ya jirani hapa Rwanda.
Wamelipa jina SHUNTAMA.

Wahaya na wanyarwanda wachache wanalifahamu sana.
Wanaume wanateseka sana, usiombe kukutana na huu mzigo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom