Hii ndiyo Fursa utakayoingiza 50,000 kwa kila siku bila kutumia nguvu

boazmwitira

Member
Jun 11, 2022
47
71
Habari Wakuu,

Nimeona ni Vema ni share naye kama Watanzania wezangu Fursa hii Ambayo itakufanya Uingize kila Siku sh 50,000 kwa juhudi zako.

FURSA YENYEWE
Mimi Nashughulika na uchinjaji Wa Wanyama Wa nguruwe na kusambaza Nyama kwenye Mabucha mahotelini na Majikoni Majumbani pia Kwa bei ya Jumla kazi hii ni nzuri Sana na ina hela.

Nataka Nitoe Fursa kwa Watanzania wezangu Kwa Bei ya Jumla Tunauza 8500 1 KG Tafuta wateja wa Nyama iwe kwa Jumla au Rejareja ww mwambia 1KG unauza 8500 Mm takuuzia kwa Sh 8000 inayo baki ni ya kwako Usafiri ni bure na ni juu yangu Kama ukipata Wateja hata wa 4 Ambao kwa ujumla wao wanaweza kuchukua KG 50 kila Siku Hapo wewe utakuwa umeingiza Elf 50000.

Utaingiza hiyo hela kila Siku pale tu mteja wako Atakapo Agiza Usisahau kumwambia tunasambaza bure mpaka ofisini kwake sisi tutachukua order kwako wewe ndo utakuwa na Mawasiliano ha huyo mteja wako

Jinsi ya kupata Wateja ni Rahisi Sana

Anza na mitaa unayo ishi Nenda wanapo uza Kitimoto Zungumza na wausika chukua order una weza pia kutumia social media zako kutangaza Nenda Mahotelini ya kitalii hapa mjini yapo mengi Mabucha sehemu za kuchoma ya Kitimoto iwe kwenye bar au Restaurant.

Tembelee Camp za wachina hawa wanaotengeneza barabara Tafuta connection na muhisika wana kula Sana hii kitu Wanaweza chukua kilo mia baaada ya wiki imeisha Ongea vizur na muhusika ukifanikiwa umetoboa nenda kwenye Viwanda Vinavyo Vimilikiwa na Wachina uko order ziko nyingi pia.

Kumbuka kila Order Unayotoa na share yako ipo Tunapokea Order kutoka kwako Na Usihahau kuwambia Usafiri ni bure mpaka Ofisi kwake au Nyumbani kwake

Tunapatikana Keko Bora Kama Unaelekea Uwanja wa Mkapa na Mbagara Sabasaba

Namba 0656080608 or 0622516506
 
Keko bora na Mbagara Sabasaba.
Unalindaje unyeti wa mawasiliano ya mteja wa mtu, maana wakurugenzi mnawazunguka sana marketia wenu baada ya kupata contact za mteja,,
Ni kwer Mkuu hii huwa inatokea kwa watu wenye Tamaa pesa ninayo pata mm inanitosha kabisa kumbuka Hatuchukui Order kutoka kwa mteja tunachukua Order kutoka kwako na wala hatuitaji wasiliano ya mteja wako Ushauri Hakikisha Unasikiliza na kuelewa malalamiko ya mteja na sisi tupo tayar kuyapokea na kutatua Jitahid uwe karibu na mteja wako
 
Unachinjia wapi? Vip usalama wa nyama upoje? Doctor huwa anakagua kabla hujaanza kuuza nyama?
 
Tunachinjia Keko Bora Kama Unaelekea Uwanja wa Mkapa na Mbagara Sabasaba Usalama upo wa kutosha Kabla ya kuchija Dokta lazima awepo ni Sheria hiyo na ni lazima Nyama ipimwe kwanza kabla ya kupelekwa kwa walaji Ikiwa Safi inapigwa Muhuri kabisa Ukipata nafasi karibu kwenye Machinjio yetu
 
Asante kwa majibu mazuri!.
 
Habari Wakuu,

Nimeona ni Vema ni share naye kama Watanzania wezangu Fursa hii Ambayo itakufanya Uingize kila Siku sh 50,000 kwa juhudi zako.

FURSA YENYEWE
Mimi Nashughulika na uchinjaji Wa Wanyama Wa nguruwe na kusambaza Nyama kwenye Mabucha mahotelini na Majikoni Majumbani pia Kwa bei ya Jumla kazi hii ni nzuri Sana na ina hela.

Nataka Nitoe Fursa kwa Watanzania wezangu Kwa Bei ya Jumla Tunauza 8500 1 KG Tafuta wateja wa Nyama iwe kwa Jumla au Rejareja ww mwambia 1KG unauza 8500 Mm takuuzia kwa Sh 8000 inayo baki ni ya kwako Usafiri ni bure na ni juu yangu Kama ukipata Wateja hata wa 4 Ambao kwa ujumla wao wanaweza kuchukua KG 50 kila Siku Hapo wewe utakuwa umeingiza Elf 50000.

Utaingiza hiyo hela kila Siku pale tu mteja wako Atakapo Agiza Usisahau kumwambia tunasambaza bure mpaka ofisini kwake sisi tutachukua order kwako wewe ndo utakuwa na Mawasiliano ha huyo mteja wako

Jinsi ya kupata Wateja ni Rahisi Sana

Anza na mitaa unayo ishi Nenda wanapo uza Kitimoto Zungumza na wausika chukua order una weza pia kutumia social media zako kutangaza Nenda Mahotelini ya kitalii hapa mjini yapo mengi Mabucha sehemu za kuchoma ya Kitimoto iwe kwenye bar au Restaurant.

Tembelee Camp za wachina hawa wanaotengeneza barabara Tafuta connection na muhisika wana kula Sana hii kitu Wanaweza chukua kilo mia baaada ya wiki imeisha Ongea vizur na muhusika ukifanikiwa umetoboa nenda kwenye Viwanda Vinavyo Vimilikiwa na Wachina uko order ziko nyingi pia.

Kumbuka kila Order Unayotoa na share yako ipo Tunapokea Order kutoka kwako Na Usihahau kuwambia Usafiri ni bure mpaka Ofisi kwake au Nyumbani kwake

Tunapatikana Keko Bora Kama Unaelekea Uwanja wa Mkapa na Mbagara Sabasaba

Namba 0656080608 or 0622516506
Thx
 
RABA ZA MWAKA HUU 2023
NIONE WHATSAPP
0719257400View attachment 2526393View attachment 2526392View attachment 2526394View attachment 2526395View attachment 2526396View attachment 2526397View attachment 2526398
IMG-20230222-WA0025.jpg
View attachment 2526399
IMG-20230222-WA0049.jpg
IMG-20230222-WA0056.jpg
Screenshot_20230222-104105_WhatsAppBusiness.jpg
IMG-20230222-WA0010.jpg
IMG-20230222-WA0017.jpg
IMG-20230222-WA0015.jpg
IMG-20230221-WA0069.jpg
IMG-20230221-WA0067.jpg
IMG-20230221-WA0082.jpg
 
Wanawake kama wewe hamkosi kuwa wadangaji, halafu mbona wachaga wengine wanazo akili, wewe ni mchaga wa wapi?
Sasa kitimoto na viatu kwenye uzi wa mwenzio vina uhusiano gani kama siyo umalaya?
Anzisha uzi wako, kuanzisha uzi ni bure.
Mkuu umekuwa harsh sana. Hujatumia ustaarabu kumjibu hata kama umeona amekosea ungemwelekeza tu vizuri usingepungukiwa kitu.
 
Sema
Faida umeweka ndogo sana aisee 500 wengine tumebase online
Nyingi mbona mkuu tena online siko lipo wengi wanao tumia hii Nyama hawapendi kuonekana Eneo la tukio online kwao ni rahis Sana kupata order ya kila 50 kwa siku inawezekana apo utakuwa umeingiza 50,000
 
Habari Wakuu,

Nimeona ni Vema ni share naye kama Watanzania wezangu Fursa hii Ambayo itakufanya Uingize kila Siku sh 50,000 kwa juhudi zako.

FURSA YENYEWE
Mimi Nashughulika na uchinjaji Wa Wanyama Wa nguruwe na kusambaza Nyama kwenye Mabucha mahotelini na Majikoni Majumbani pia Kwa bei ya Jumla kazi hii ni nzuri Sana na ina hela.

Nataka Nitoe Fursa kwa Watanzania wezangu Kwa Bei ya Jumla Tunauza 8500 1 KG Tafuta wateja wa Nyama iwe kwa Jumla au Rejareja ww mwambia 1KG unauza 8500 Mm takuuzia kwa Sh 8000 inayo baki ni ya kwako Usafiri ni bure na ni juu yangu Kama ukipata Wateja hata wa 4 Ambao kwa ujumla wao wanaweza kuchukua KG 50 kila Siku Hapo wewe utakuwa umeingiza Elf 50000.

Utaingiza hiyo hela kila Siku pale tu mteja wako Atakapo Agiza Usisahau kumwambia tunasambaza bure mpaka ofisini kwake sisi tutachukua order kwako wewe ndo utakuwa na Mawasiliano ha huyo mteja wako

Jinsi ya kupata Wateja ni Rahisi Sana

Anza na mitaa unayo ishi Nenda wanapo uza Kitimoto Zungumza na wausika chukua order una weza pia kutumia social media zako kutangaza Nenda Mahotelini ya kitalii hapa mjini yapo mengi Mabucha sehemu za kuchoma ya Kitimoto iwe kwenye bar au Restaurant.

Tembelee Camp za wachina hawa wanaotengeneza barabara Tafuta connection na muhisika wana kula Sana hii kitu Wanaweza chukua kilo mia baaada ya wiki imeisha Ongea vizur na muhusika ukifanikiwa umetoboa nenda kwenye Viwanda Vinavyo Vimilikiwa na Wachina uko order ziko nyingi pia.

Kumbuka kila Order Unayotoa na share yako ipo Tunapokea Order kutoka kwako Na Usihahau kuwambia Usafiri ni bure mpaka Ofisi kwake au Nyumbani kwake

Tunapatikana Keko Bora Kama Unaelekea Uwanja wa Mkapa na Mbagara Sabasaba

Namba 0656080608 or 0622516506
Fursa nzuri sana hii,Asante sana mkuu,nalifanyia kazi
 
Tatizo la Watanzania unaweza kugeuzwa marketing officer or manager ukiletewa wateja the second order zinapita juu Kwa juu.....

Hope wew hautakua mwenye Tamaa oda zipo nyingi sana by then niwewai fanya hii kitu mwanza tulipiga pesa sana....

Na nguruwe tulikuaga tunafuga wenyewe....

Nikupongeze Kwa kutushirikisha kwenye hio fursa...🤓🤓😊😊
 
Back
Top Bottom