Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

Ufunuo 10:7 inasema “watumishi wake manabii” ni wale waliokuwa wakihubiri na kushuhudia ujio wa Ufalme wa Mungu katika historia, si majina maalum ya watu binafsi.,Na hapa ndipo matapeli wamejipenyeza na kusema ni wao .

Kwa maneno mengine, hii si listi ya wajumbe wa karne ya 20 au mtu fulani aliyechaguliwa kuwakilisha malaika wa saba., kama Branham alivyojipachika

Ikiwa Biblia haijataja majina, kwa msingi gani Branham au mtu yeyote tapeli anaweza kudai kuwa yeye ni mmoja wa wajumbe hao?
Haluna sehem amesema yeye ndie uyo mtu.
Hakuna mtu ametambuliwa kwa jina nabii anatambulika kwa nafasi yake kwenye maandiko,na nabii wa kweli anaijua sehem yake kwenye maandiko.
Na kazi yake.
Yohana aliposema yeye ni sauti ya mtu aliaye nyikani ungembishia pia inamana.
 
P

Pia yesu aliposema yeye ndie yule masihi wanaemsubiria ungembishia pia.
Watu ni wale wale,roho ni zile zile apa duniani,kama unaweza bisha mtu anaejitambulisha kwenye maandiko,ungembishia yoyote yule hata hao unaozani ungewaamini kama yesu,musa, yohana na wengine.

Si rahisi kumuamini mtu alietumwa kwa wakati wako unaoishi.

Ila nirahisi kuamini waliopita.
 
Huyo yesu mwenyewe usingemuamini alipo sema yeye na baba ni mmoja,ama alipokuwa anahubiri habari za uzao wa nyoka,ama alipohubiri mtu asiemuamini hana uzima,ama alipohubiri mambo ya talaka,

Nabii wa kweli anapokuja usizani atafanana na mifumo ya kidini iliyopo wakati huo,
Lazima apingane nayo,io ni biblia nzima.
Musa,eliya,elisha,samwel,ruka mpaka yohana,yesu mwenyewe, Martin luther,wesley,n.k
 
Branham ni nabii wa uongo ,mafundisho yake ni tofauti na hao uliowataja hapo
 
P

Pia yesu aliposema yeye ndie yule masihi wanaemsubiria ungembishia pia.
Watu ni wale wale,roho ni zile zile apa duniani,kama unaweza bisha mtu anaejitambulisha kwenye maandiko,ungembishia yoyote yule hata hao unaozani ungewaamini kama yesu,musa, yohana na wengine.

Si rahisi kumuamini mtu alietumwa kwa wakati wako unaoishi.

Ila nirahisi kuamini waliopita.
Branham ni nabii wa uongo ,full stop ,
 
Haluna sehem amesema yeye ndie uyo mtu.
Hakuna mtu ametambuliwa kwa jina nabii anatambulika kwa nafasi yake kwenye maandiko,na nabii wa kweli anaijua sehem yake kwenye maandiko.
Na kazi yake.
Yohana aliposema yeye ni sauti ya mtu aliaye nyikani ungembishia pia inamana.
Kwahiyo hiyo Aya inamuhusu tapeli nabii wa uongo branham?huyu ambaye anasema Hawa alizini na nyoka?
 
Kwani hawa na nyoka walikula nini??
Tunda gani??
La ujuzi wa mema na mabaya,lakujua uchi,ambalo halikuchipuka kutoka ardhini, ambalo lilimsababisha kaini, ambalo yesu alikuja kuzungumza kuhusu uzao wa nyoka,??

Hio picha ni makumbusho ya marekani, sehemu zilipohifadhiwa kumbukunbu za vitu vya ajabu vya kinbinguni vilivyowahi kupigwa picha duniani,ipo hapo zaidi ya miaka 50,.
 
Attachments

  • 1707599179147.jpg
    1707599179147.jpg
    232.1 KB · Views: 16
Kwani hawa na nyoka walikula nini??
Tunda gani??
La ujuzi wa mema na mabaya,lakujua uchi,ambalo halikuchipuka kutoka ardhini, ambalo lilimsababisha kaini, ambalo yesu alikuja kuzungumza kuhusu uzao wa nyoka,??

Hio picha ni makumbusho ya marekani, sehemu zilipohifadhiwa kumbukunbu za vitu vya ajabu vya kinbinguni vilivyowahi kupigwa picha duniani,ipo hapo zaidi ya miaka 50,.
Hebu tuweke mambo wazi Biblia inasema wazi kabisa kuwa Hawa na Adamu walikula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya (Mwanzo 2:16-17; 3:6). ,Hakuna sehemu kuwa Hawa alizini na Nyoka ,acha kabisa hizi propaganda za Branham nabii wa Uongo

Nyoka hakuwahi kula wala kuhusiana kimwili na Hawa , bali alisimamia hila ya Shetani kuanzisha dhambi ya kwanza.,Simple

Hoja ya Branham ya kusema kwamba nyoka alizini na Hawa ni uzushi na tafsiri binafsi, isiyopatikana kwenye maandiko halisi.

Biblia inafafanua wazi, nitaweka mtiririko wa pale edeni

1️⃣ Nyoka aliwalaghai, kuashiria dhambi ya kwanza, si kuzini na hawa
2️⃣ Uchi wa Adamu na Hawa ulijitokeza baada ya kula tunda, si kabla, kuonyesha dhambi ya uzini haikutokea kabla ya kula tunda.,hapa Branham tayari ni muongo na tapeli
3️⃣ Kaini alizaliwa baada ya dhambi hiyo, kuthibitisha kuwa dhambi ya uzinzi na nyoka anayosema tapeli Branham haikuwahi kutokea.

Kwa kifupi, Branham anapindisha historia ya Biblia kwa kudai kwamba nyoka alizini na Hawa.

Hii inapingana na maandiko yote ya kiarabu cha Genesis na ukweli wa kihistoria.

Nijibu haya maswali au kaangalie kwenye vitabu vya Branham ameyajibu vipi 👇👇

1. Kama nyoka alizini na Hawa, basi Mwanzo 3:7-8 inamaanisha nini kuhusu uchi wao uliotokea baada ya kula tunda?

2. Kwa nini Biblia inaonyesha nyoka kama kiumbe mwenye hila anayetumika na shetani ,na sio kiumbe aliyezini na Hawa ? Hili fundisho mnatoa wapi

3. Tunda la mti wa ujuzi wa mema linaonekana wazi kwenye Mwanzo 3:6. Kwa nini tafsiri yako inapingana na maandiko haya? Biblia imetaja wazi kazi ni tunda la mti wa ujuzi wa mwema na mabaya ,

4. Una ushahidi gani wa maandiko kwamba nyoka aliwahi kuzini na Hawa kabla ya kula tunda?

5. Je, tafsiri ya Branham inaweza kubadilisha ukweli wa kihistoria na maandiko yaliyoandikwa mamia ya miaka?
 
Mafundisho yapi
Uzao wa Nyoka’ (Serpent Seed)

Branham alifundisha kwa udanganyifu kwamba Hawa alizaliwa na nyoka au kwamba uzao kazini unatokana na ‘uzao wa nyoka kama kiumbe , Branham ni tapeli sana aisee

Hii inapingana na Biblia, kwani Mwanzo 3 haoneshi kwamba Hawa alizini na nyoka; nyoka alikuwa kiumbe wa hila aliyetumika na Shetani.

Ukosoaji wa Makanisa ya Kawaida (Denominationalism)

Alihoji kwamba makanisa yote ya kawaida ni ya uongo na hayana nguvu ya kweli, na kwamba yeye ndiye mtume wa mwisho.,yale yale ya muhamad

Ufunuo wa Mwisho wa Siku (End-Time Prophecy)

Alidai kwamba yeye ni kielelezo cha manabii wa mwisho na kwamba matukio ya mwisho ya historia ya dunia yanahusiana moja kwa moja na mafundisho yake.🤣🤣

Hii ni propaganda ya kibinafsi, isiyo na uthibitisho wa Biblia., ni sawa na Muhammad au Mwamposa tu

Uuguzi wa Moja kwa Moja na Kuondoa Dhambi (Direct Healing and Sin-Removing)

Branham alienda mbali akifundisha kwamba yeye ana mamlaka ya kuponya wagonjwa na kuondoa dhambi moja kwa moja.🤣🤣

Hii inapingana na mafundisho ya uongo, kwani Biblia haiwapi watu mamlaka ya aina hiyo kwa njia ya kibinafsi.,Anayesamehe dhambi ni Yesu tu pekee

Tafsiri ya Siri na Uchunguzi wa Maandishi (Secret Codes / Mystical Interpretations)

Alidai kwamba Biblia ina maneno ya siri ambayo yeye tu anaelewa, na kwamba tafsiri nyingine zote ni za uongo.🤣🤣

Haya ni mafundisho ya uongo, kwa kuwa Biblia inatoa ujumbe wazi kwa wote, si kwa wachache pekee.
 
Hii comment ukiipa title,ukaongeza nyama kidogo, yafaa kwa mjadala
 
Ndhani hujamfatilia ulitoa izi point zako google.
Unajua usiongee usichokifatilia wala kukijua namna hio.

Hayo unayosema amejisema yeye unaweza kuyaonyesha .

Ama wapi aliposema yeye ndie wakusikilizwa ,usipomsikia umekwisha.

Usijibebesshe mzigo ambao hutaweza kuujibia.

Nadhani wewe hata ungekuwa kipindi cha yesu usingeweza kumuamini,oale alipopinga madhhebu ya masadukayo na mafarisayo na maandishi.

Roho ni yule tule tuu, ila tofauti ni nyakati unayoishi na aliyoishi herode
 
Nikuambie tu bwana hamis.
Mungu ni wa watu wachache.
Hajawahi kuwa wakundi kubwawakati wa nuhu watu wa nne,wakati wa sodoma na gomora watu nane, wakati wa eliya 7000, wakati wa daniel 4.
Wwkati wa yesu 12, hata wale sabini walipungua,.

Imekuwa hivyo daima,na jua kiwa mofumo yoote ya kidhehebu haihusiani kitu na ukristo.
Ni mafundisho ya akili za watu.

Yesu alifukuzwa kanisani kwanini??
Kwa sababu ya maundisho yake yalipungana na mafundisho yao.

Eliya alifukuzwa hivyo pia, mikaya alifukuzwa hivyo pia kwenye umoja wa manabii.
Yohana alitoka porini, wesley, Martin luther na wengineo woote walipinga mifumo ya udhehebu(dini)
Na mungu anatuma mtu pale tu ambapo watu wameacha njia yake.

Kama unadhani wakati tynaoishi nisalama na Mungu hana muda endelea.
Lakini jua wakati nuhu anatengeneza safina hawakumueleea,wala luthu na sodoma,wala yesu wala mitume,

Hivyo na sasa.
Biblia inasema ni kundi dogo sana litakalopata neema hio,
Kwaio maadamu ulibahatika kusikia ukaipuuza na kuikejeli endelea na io njia.

Ila kama utahitaji moja ya mahubiri yake nitakupa.
 
Ukisikia mtu anakusanya watu, anamwita mmoja au anapokea simu na kuanza kukwambia ukweli wote kuhusu MAISHA Yako huyo SI nabii,

Huyo ni mwonaji, mwenye jicho la Roho.

Na jicho Hilo Katika ulimwengu wa Nuru haliendani na kutoza watu pesa Ili akwambie mambo yako au akusaidie.

Mtu abayetoza pesa ni mganga wa kienyeji ,mwonaji wa Giza.

Karama za Mungu hutolewa Bure, hazilipiwi pesa, kwamba mwenye milioni moja aje ofisini nimtabirie, mwenye elfu kumi ataandika kwenye notebook na kutupia kwenye kasha la maombezi, hii SI sawa, na huo SI unabii sawasawa na neno la Mungu
Na nabii anapewa mission anaisimamia mpaka itokee in-short unabii ni kazi ngumu sana ni tofauti na hawa wanaojiita manabii wanaenda live wanaongea unabii alafu basi imeisha hapana wanakosea sana

Ukimsoma yeremia, eliya na Elisha kwa mfano walitoa unabii na hawakuishia tu kwenye kuongea bali walihakikisha walijoongea kinatokea

Kinachotokea sahivi ni watu wanatoa unabii ila sijaona mtu anafanya huduma ya unabii ni ngumu sana na inarisk kubwa sababu inakutaka kuongea ukweli kwa watawala bila kupindisha maneno ndo maana yohana mbatizaji alikatwa shingo, yeremia aliteswa sana

Na nabii always anadeal na mambo ya kitaifa na anakuwa anapewa project ambazo lazima zifike mwisho ili aanze nyingine
 
Ndhani hujamfatilia ulitoa izi point zako google.
Unajua usiongee usichokifatilia wala kukijua namna hio.

Hayo unayosema amejisema yeye unaweza kuyaonyesha .

Ama wapi aliposema yeye ndie wakusikilizwa ,usipomsikia umekwisha.

Usijibebesshe mzigo ambao hutaweza kuujibia.
Kwamba simjui nabii wa uongo huyu ?

Nimekuuliza maswali badala ujibu ,umekuja na maelezo marefu ,hakuna ulichojibu, zaidi unanilaumu kwanini simuamini ,

Hebu jikite kwenye hoja ,huyu ni moja ya manabii wa uongo ,kama sivyo.jibu hoja nilizokuuliza tuone ukweli upo wapi ,
 
Nadhani wewe hata ungekuwa kipindi cha yesu usingeweza kumuamini,oale alipopinga madhhebu ya masadukayo na mafarisayo na maandishi.

Roho ni yule tule tuu, ila tofauti ni nyakati unayoishi na aliyoishi herode
Kwanza Yesu hakupinga hayo madhehebu,Bali alipambana na jinsi walivyokuwa wanaharibu na kupotosha maandiko

Zaid aliwasifia anasema HAKI YENU ISIPOZIDI HAKI YA MAFARISAYO ,HAMTAUONA UFALME WA MUNGU
 
Back
Top Bottom