Hii ndiyo hali ya Dkt. Shika hivi sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,562
217,897
Ama kweli Shetani hana rafiki .

Zile bilioni zake alizipata____ Mia 900 itapendeza..jpg


Hatimaye arejea tena kwenye njaa yake .
 
CDM imewaharibia future vijana wadogo wengi tu huko vyuoni! Yuko wapi kinara wa fujo na migomo UDOM bwana Mwakibinga? Huyo Mzee hayo ndo maisha yake ya siku zote,he's nothing to lose.
 
Ccm walimtumia kivipi?
Wajinga hawa achana nao! Kila kitu kwao ni siasa tu. Hivi ukiwa na mzigo wa kubeba ukimwajiri kibega kuupeleka sehemu fulani na ukamlipa ujira wake mliopatana utakuwa umnawajibika kwa maisha yake yote ya baadae? Haya mawazo ya kijinga yamekolea sana Tanzania. Mtu kama alikuwa kiongozi au msanii na akatumiwa na chama fulani kutekeleza majukumu na kulipwa ujira wake halafu baadae akakwama kimaisha watu wanadhani ni jukumu kwa aliyekuwa amemwajiri kuendelea kumhudumia.
 
Back
Top Bottom