Hii ndiyo hali ya Dkt. Shika hivi sasa

Hii ndiyo hali ya Dkt. Shika hivi sasa

Wajinga hawa achana nao! Kila kitu kwao ni siasa tu. Hivi ukiwa na mzigo wa kubeba ukimwajiri kibega kuupeleka sehemu fulani na ukamlipa ujira wake mliopatana utakuwa umnawajibika kwa maisha yake yote ya baadae? Haya mawazo ya kijinga yamekolea sana Tanzania. Mtu kama alikuwa kiongozi au msanii na akatumiwa na chama fulani kutekeleza majukumu na kulipwa ujira wake halafu baadae akakwama kimaisha watu wanadhani ni jukumu kwa aliyekuwa amemwajiri kuendelea kumhudumia.
siku zote mkuu usije shiriki jambo au kitu kinachoshirikisha watu wengi kwa maana ya kuwadanganya.utalaanika kuaibika na kuadhirika.alishiriki upumbavu na ujinga.si kila njaa hutibiwa na chakula.Nyingine hutibiwa kwa kuangalia utu.Mawazo ya kitanzania ni ya kijinga lakini mawazo wizi na kusapoti mambo yaliyokaa kizandiki ni uhayawani.
 
Mkuu lengo langu ni kusema tuwe wakweli na wenye utu (kama unavyopendekeza wewe) na tusiangalia tumbo tukasahau utu. Sasa ukiona mtu anahusisha yanayompata bwana Shika na CCM kumtumia huoni huyo mtu anajaribu kuleta mzaha kwenye hatari? Mimi tangu alipojitokeza huyu bwana nilisema ni mgonjwa wa akili na hakuna ukweli wowote wa anayosema. Sasa hawa wanaopiga kelele sasa hivi ndiyo walikuwa wa kwanza kusema bwana Shika ni tajiri asipuuzwe na mambo kibao. Masikini vihela alivyopita tena akadanganywa akawa anavituma nje eti analipia gharama za kuletewa fedha zake!
 
sasa shida ni kwamba mkuu huoni hapa kuna ule usemi wa anayeoga bafuni na chizi aliyeiba taulo.
 
CDM imewaharibia future vijana wadogo wengi tu huko vyuoni! Yuko wapi kinara wa fujo na migomo UDOM bwana Mwakibinga? Huyo Mzee hayo ndo maisha yake ya siku zote,he's nothing to lose.

Mwakibinga aliondoka CDM akajiunga ACT WAZALENDO ambapo alifukuzwa...
 
CDM imewaharibia future vijana wadogo wengi tu huko vyuoni! Yuko wapi kinara wa fujo na migomo UDOM bwana Mwakibinga? Huyo Mzee hayo ndo maisha yake ya siku zote,he's nothing to lose.
Du! Unamfahamu Mwakibinga! Alikuwa classmate wangu pale UDOM kozi moja.

Jamaa alikuwa ni mwanaharakati wa ukweli, mwenye msimamo imara.

Sidhan kama jamaa alipoteza katika maisha maana alishinda kesi dhidi ya UDOM na alitakiwa alipwe fidia. Sijui kama alilipwa au la!

Niliskia jamaa ni diwani kule kwao Mbeya kupitia ACT tangu 2015.
 
CDM imewaharibia future vijana wadogo wengi tu huko vyuoni! Yuko wapi kinara wa fujo na migomo UDOM bwana Mwakibinga? Huyo Mzee hayo ndo maisha yake ya siku zote,he's nothing to lose.
Bora CDM...kuliko CCM au unaonaje
 
CDM imewaharibia future vijana wadogo wengi tu huko vyuoni! Yuko wapi kinara wa fujo na migomo UDOM bwana Mwakibinga? Huyo Mzee hayo ndo maisha yake ya siku zote,he's nothing to lose.
Unamuuliza nani? Hii mantiki ya kijinga kusema mtu akugoma chuoni kudai stahiki zake katumwa na Cdm ni ujinga.
 
Dah! Yaani Dr. Shika kwa kujifanyisha... Mungu anakuona Daktari!!!
 
Back
Top Bottom