Hii ndiyo hali ya Dkt. Shika hivi sasa

Hii ndiyo hali ya Dkt. Shika hivi sasa

Jambo la msingi ungejiuliza zipo wapi ajira za vijana wetu wasomi? Usimwangalie Mwakibinga tu.Kina Ben Saanane,kina Lissu nk
CDM imewaharibia future vijana wadogo wengi tu huko vyuoni! Yuko wapi kinara wa fujo na migomo UDOM bwana Mwakibinga? Huyo Mzee hayo ndo maisha yake ya siku zote,he's nothing to lose.
 
Sise-em walimtumia, baada ya kumalza kazi yao wamemweka reserve!
But, ni lazima watamuibua tena!
Ila lugum ni mjanja sana!
 
Si aliwahi kupiga kampeni ya uchaguzi wa marudio huko siha Lumumba wampe U-DC.
 
Ni ugonjwa jamani
Na watu wakawa wanamsikiliza badala ya kumpeleka hospital.
Namjua jamaa mmoja alikuwa hivi hivi kujiaminisha ana mabilioni account ya Jersey shore mwisho alikuja kufa watoto wake wakasema baba alikuwa mgonjwa wa kujiaminisha ni tajiri maana alikuwa anawaonyesha mpaka majengo makubwa na kusema ni yake.
 
Juzi juzi Nilipishana naye barabara ya Sokoine karibu na Sukari House kwa kusema ukweli anatia huruma
 
Mkuu lengo langu ni kusema tuwe wakweli na wenye utu (kama unavyopendekeza wewe) na tusiangalia tumbo tukasahau utu. Sasa ukiona mtu anahusisha yanayompata bwana Shika na CCM kumtumia huoni huyo mtu anajaribu kuleta mzaha kwenye hatari? Mimi tangu alipojitokeza huyu bwana nilisema ni mgonjwa wa akili na hakuna ukweli wowote wa anayosema. Sasa hawa wanaopiga kelele sasa hivi ndiyo walikuwa wa kwanza kusema bwana Shika ni tajiri asipuuzwe na mambo kibao. Masikini vihela alivyopita tena akadanganywa akawa anavituma nje eti analipia gharama za kuletewa fedha zake!
Huyo jamaa hoja yake ililenga kupinga vikali sana hoja zako, na sidhani kama unanafasi ya kumshawishi akubaliane na wewe hata chembe.
 
Back
Top Bottom