Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

Dr Hadji Hussein Mponda profile.


First Name: Dr. Hadji
Middle Name: Hussein
... Last Name: Mponda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Ulanga Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 003 635
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: hmponda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 September 1958


EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Manda Chini Primary School Primary Education 1967 1970 PRIMARY
Nawenge Primary School Primary Education 1971 1973 PRIMARY
Minaki Secondary School O-Level Education 1974 1977 SECONDARY
Tosamaganga Secondary School A - Level Education 1978 1980 HIGH SCHOOL
Mzumbe University Business Management 1984 1987 ADV DIPLOMA
London Univeristy Public Health 2003 2004 MASTERS DEGREE
Mzumbe University Material Management - GRADUATE
London Univeristy Public Health 2007 2010 PHD


Nimekuwa najiuliza sana kuhusu huyu waziri wa afya na jinsi anavyohandle issues za wizara yake hasa mgomo wa madaktari nikaishia kupata CV yake hii.

Nadhani kuna haja wizara kuwa zinaongozwa na watu wenye taaluma husika pengine inaweza kusaidia kuondoa mitafaruku isiyo ya lazima na adha zinazowakumba wananchi......

Yaani najaribu kujiuliza toka 1987 hadi 2004 alikuwa nafanya nini sipati picha. Huo uzoefu wa advanced diploma ndo unaomsumbua ku-cope na system ya utendaji serikalini. Hapo ni mcharuko kwa kwenda mbele wakuu
 
Yaani najaribu kujiuliza toka 1987 hadi 2004 alikuwa nafanya nini sipati picha. Huo uzoefu wa advanced diploma ndo unaomsumbua ku-cope na system ya utendaji serikalini. Hapo ni mcharuko kwa kwenda mbele wakuu

utasemaje kuhusu Maghembe si alikuwa mwalimu na yule mama naibu wake kwani walichoambulia ni nini? hiyo elimu yao ya makaratasi tu
 
Ministerial responsibilities hazihusiani na profession husika na kwa hiyo uwaziri wa afya sio lazima ushikwe na daktari wa binadamu ila cha muhimu ni upeo wa huyo waziri. Kwa mfano hivi mgomo wa madaktari ni kweli kuwa unaweza kutatuliwa na professional doctor pekee?Mbona wizara hiyo imewahi kuongozwa na mawaziri ambao sio madaktari na wakafanya vizuri.

Nikweli wazili si lazima awe professional kwa eneo husika lakini ni vizuri zaidi akiwa hivyo, na ingependeza katibu mkuu wake awe daktari sasa unaweza ona mama Nyoni ni mhasibu, mponda kimsingi naye ni mgavi. vipo vitu vingi haviwezi kwenda kitaalamu, kiasi cha hata wakati mwingine kuwaona hawa wataalam ni more demanding, kama unavyoona majibu yayotolewa utadhani yanatoka kwa Mhogo mchungu mzee wa maigizo
 
HAPA EXPERIENCE NDIO HAMNA KABISA!!


GENERAL

SalutationHonourableMember picture
1646.jpg
First Name: Dr. Hadji
Middle Name: Hussein
Last Name:Mponda
Member Type:Constituency Member
Constituent: Ulanga Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 003 635
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Manda Chini Primary SchoolPrimary Education19671970PRIMARY
Nawenge Primary SchoolPrimary Education19711973PRIMARY
Minaki Secondary SchoolO-Level Education19741977SECONDARY
Tosamaganga Secondary SchoolA - Level Education19781980HIGH SCHOOL
Mzumbe UniversityBusiness Management19841987ADV DIPLOMA
London UniveristyPublic Health20032004MASTERS DEGREE
Mzumbe UniversityMaterial Management-GRADUATE
London UniveristyPublic Health20072010PHD
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Ulanga West Constituency20102015
Ministry of Health and Social WelfareMinister2010Todate
Ifakata Health InstituteResearch Scientist19962010
National Development CorporationCommercial Manager19891996
National Development CorporationCommercial Officer19831989
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMYouth Commander2009
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Political Committee2005
PUBLICATIONS
Description Published Date
Social Science and Medicine2003
BMC Public Health2009
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list
 
Oooh so he got what it takes to become a PHD holder more than ten years after having a diploma. Am not not surprised.
 
jamaa hana aibu yan hata ajishtukii kua anatakiwa ajiuzulu ili kutoacha rekodi chafu.?
sijui mke wake hamshaur.?
lakin ndo kizazi cha akina jairo hicho..
 
mi nilifikiri ni medical doctor kumbe udaktari wake ni wa PHD? hakika ni msomi ila mambo anayofanya hana tofauti na vihiyo

Binafsi siamini wala sidhani kama mambo anayofanya Dr Mponda ni initiative zake. Kilichomponza Mponda ni kukubali kusoma report ya majungu na uongo aliyopewa dhidi ya madaktari bungeni. Alikuwa akiisoma huku akitetemeka kuonesha kuwa mdomo na kichwa havina ushirikiano kuhusu ukweli wa report ile. Waswahili husema mtumikie kafiri upate mradi wako ila ukikubali kufanya mambo ya kikafiri basi watu watakuona na wewe ni kafiri. Na ndicho kilichomponza Dr Mponda.
 
MINAKI BOY ana mambo ya kijinga hivi...wewe hutakiwi si usepe ndugu yangu ..mtu mwenyewe ameshazeeka madaraka na vyeo kaja kuvipata uzeeni
 
Huyu si ndiye aliyewaita madaktari wanamapinduzi na kuwa hana muda wa kuwasikiliza na yupo jimboni mwake akiwahudumia wakulima na wa fugaji? Sasa inakuwaje anataka kuwaongoza wana harakati?
 
MINAKI BOY ana mambo ya kijinga hivi...wewe hutakiwi si usepe ndugu yangu ..mtu mwenyewe ameshazeeka madaraka na vyeo kaja kuvipata uzeeni



kwa maoni naona hapa dk mponda asingeweza kukaa kimya mpaka leo angeshajiuzuru bali jk amemwambia asifanye hivyo kwani watasema watanyamaza yeye hatomtoa kwan ndiye aliyemweka
 
Kwa mfumo wa uongozi wa ccm na wa serikali chini ya kikwete, mtu hata awe mzuri namna gani ataishia kuboronga tu.
 
mi nilifikiri ni medical doctor kumbe udaktari wake ni wa PHD? hakika ni msomi ila mambo anayofanya hana tofauti na vihiyo

Misplacement of Human resources and a case for misgided priority......!
 
Binafsi siamini wala sidhani kama mambo anayofanya Dr Mponda ni initiative zake. Kilichomponza Mponda ni kukubali kusoma report ya majungu na uongo aliyopewa dhidi ya madaktari bungeni. Alikuwa akiisoma huku akitetemeka kuonesha kuwa mdomo na kichwa havina ushirikiano kuhusu ukweli wa report ile. Waswahili husema mtumikie kafiri upate mradi wako ila ukikubali kufanya mambo ya kikafiri basi watu watakuona na wewe ni kafiri. Na ndicho kilichomponza Dr Mponda.

Sasa kwa nini alikubali kusoma riporti asiyokuwa na uhakika nayo? si tuliambiwa "za kuambiwa inabidi uchanganye na za kwako"? yeye za kwake aliziacha ulanga? Pia nahisi ana - inferiority complex mbele ya hao madaktari. Ingawa siyo lazima, lakini nadhani wizara nyeti kama hizi, ni vizuri kuweka waziri who can speak the same language kufuatana na wizara ilivyo. Wizara ya afya mwekeni mtu aliyebobea katika utabibu. Ya fedha awekwe aliyebobea ktk uchumi. Lakini mkimweka mcheza mdumange ktk wizara ya fedha au afya haviendani na matokeo ni mnara wa babeli. "Birds of the same feather flocks together"
:lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom