GE2025 Fatuma Hussein: CCM imeleta wagombea wenye hofu ya Mungu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Songwe, Fatuma Hussein, ameendelea na kampeni za Jimbo kwa Jimbo mkoani humo, ambapo akiwa katika Jimbo la Mbozi amewataka wananchi kuendelea kuiamini CCM kwa kuwa imeleta wagombea wenye hofu ya Mungu, wachapa kazi na wapenda maendeleo.

Fatuma amesema wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni watu wa mfano na wanaojali maslahi ya wananchi. Amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni mama mwenye hofu ya Mungu, mchapa kazi na muadilifu, hivyo anapaswa kupewa kura nyingi ili aendelee kuleta maendeleo nchini.

Aidha, amewataka wananchi wa Songwe na Tanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba mwaka huu na kuwapigia kura wagombea wa CCM ili kuendeleza kasi ya maendeleo iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya sita.

Wanayo hofu ya Mungu ila hawana hofu ya ufisadi na Utekaji.Hii ni ajabu kubwa!
 
Sasa si wangeenda kwenye Misikiti na Makanisa kabisa; au huko hakuhitaji watendaji ?

Huku hata akija mtu mwema mwenye matendo mazuri kwa jina la Shetani ni bora kuliko vice versa...
 
Mleta mada bwana!! yaani mtu anaitwa fatuma we ulitegemea awe na akili? wenye akili walishaacha hilo jina sikuhizi wanaitwa fetty
 
Back
Top Bottom