Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,452
- 4,938
Zingatia agalizo la mtoa mada.Kibaya Nyumbu wa chadema wamejaa kuchafua serikali mtandaoni
Zingatia agalizo la mtoa mada.Kibaya Nyumbu wa chadema wamejaa kuchafua serikali mtandaoni
Mkiambiwa mko nyuma kimawazo mnalalamika,hii post ni ya lini labda....Msipende kupotosha watanzania. Someni muelewe. June 30 2016 serikali ilikuwa na miezi 8 tu. Ndiyo maana watu wametumbuliwa mkaanza makelele. Poleni sana. Magufuli tutamuongezea muda mpaka nchi inyooke.
Vigezo na masharti kuzingatiwaMbona umshangai baba yako adi leo anakaa kwenye nyumba ya kupanga
Vigezo na masharti kuzingatiwaLakini kwa sasa watachafuka wao wenyewee
GT onlyHiyo ndiyo AKILI YAKO! Watu kama nyinyi uwa hamkosekani katika jamii. Tabia yako ya kulalamika muda wote pamoja na kutukana, inaonyesha msingi wa malezi mabaya uliyolelewa na wazazi wako. Sikulaumu wewe, ila tu lawama ni kwa wazazi wako. Tumia AKILI yako kutafuta MAJAWABU ya matatizo yako na siyo kutafuta MATATIZO yasiyokuwa na MAJAWABU. Unavyolalamika muda wote, basi ujue kuwa hata watoto utakaowazaa au uliowazaa na wao watakuwa walalamikaji. LIKE FATHER LIKE SON.
pengine kuna mtu anataraji kututoka hivi karibuni.!Nani ametutoka mkuu
Wewe inaonekana una matatizo yako binafsi! Mbona Rais Magufuli anafanya vizuri tu!! Sema tu nyinyi ndiyo, kama wewe umetoka chuoni hivi karibuni, wale wanafunzi wenye mawazo ya kuajiliwa serikalini tu na hawataki kujituma kwa kutumia elimu yao kubadili hali inayowazunguka. Kama wewe ni muajiliwa, basi nyinyi ndiyo wale mliozoea kuiba hela ya serikali na sasa mianya hiyo imezibwa, mnaishia kulalama tu! Kwa ujumla, wakati nyinyi mnamlalamikia, sisi wengine tunamuona kama ni mkombozi wa Taifa letu kwa kuwa amebadilisha mfumo wa maisha na sasa ni heshima tu, nje na ndani ya nchi. ifikapo 2020, tutampigia kura nyingi za kutosha ili aweze kuendelea hadi 2025.
Kushindwa kutoa ajira mpya kiukweli ni kama kushindwa uongozi , maana wasomi wote hawana pa kwenda .
Mkiambiwa mko nyuma kimawazo mnalalamika,hii post ni ya lini labda....
Tuanzie hapo
kupanga ni kuchagua,tumepanga kwa niaba YENU.
endelea kupotezea mada na kushangaa. HutaelewaBila shaka atakuwa" ni wale waliohitimu Elimu ya Bandari- Sasa kila akicheki mazingira' anaona watu hawacheki, akienda kwenye Madini- mchanga umezuiliwa, kwenye Bombardier wanahitajika watu wenye sifa na sio Ndumba... Nguzo aliyokuwa anaitegemea" Imevunjwa sasaivi mwendo wa gesi...Tumshauri aanzishe Shule ya Watu wazima....Tanzania inafursa nyingi sana ya kujiajiri....!
Bila shaka atakuwa" ni wale waliohitimu Elimu ya Bandari- Sasa kila akicheki mazingira' anaona watu hawacheki, akienda kwenye Madini- mchanga umezuiliwa, kwenye Bombardier wanahitajika watu wenye sifa na sio Ndumba... Nguzo aliyokuwa anaitegemea" Imevunjwa sasaivi mwendo wa gesi...Tumshauri aanzishe Shule ya Watu wazima....Tanzania inafursa nyingi sana ya kujiajiri....!
Hivi kishada ndio nani?Hii ndio Tanzania yetu. Tanzania isiyokishwa kila aina ya maajabu. Na yumkini hayatakwisha kwa sababu ndio majaliwa yetu. Watu wanashangaa sana mimi nawashangaa hao wanaoshangaa hii Tanzania yetu ya awamu ya tano kwani mlitarajia nini ?
Kwamba unasema hutaki misaada ya masharti baadae unakubali imekuwaje ?
Makusanyo ya kodi yamepanda lakini utekelezaji wa bajeti za maendeleo haufiki hata asilimia 40% vipi tena . Huko halmashauri kumelalala fofofo vipi badala ya kuinuka na kuamka.
Unaunda mahakama ya mafisadi na kutumbuwa wanaoitwa mafisadi halafu mahakama inakosa mtu wa kushtakiwa punde ripoti ya CAG inaonesha ufisadi wa kutisha vipi ?
Unazuiya mikutano ya kisiasa ya hadhara halafu kutwa unatumia mikutano ya hadhara hiyo hiyo kushambuliya kila anaetofautiana nawe kimawazo vipi tena ?
Nchi ina manunguniko kila aina , badala ya kutafutwa suluhu unabeza na kudogosha mambo imekuwaje?
Tunaambiwa uchumi unakuwa kwa asilimia 7 % lakini watu wanaachishwa kazi kila kukicha kwa ukata na bei za bidhaa zinapanda kuna nini ?
Tunachagizwa kuiombea mungu Tanzania yetu na rais wetu kila siku lakini mambo yanazidi kuwa magumu kunani ?
Unaahidi utawatendea haki watanzania wote lakini mbona kuna undumi la kuwili kwenye kutenda haki.
Unaahidi kushughulika na waliofoji vyeti unachukua hatua kwa baadhi lakini wengine wanaachwa kwa nini?
Unajisabu kusimamia sheria, sheria inavunjwa nyumbani mwako unanyamaza kimya na badala ya kuwashughulikia wavunja sheria, unawalinda na kushughulikia watetezi wa sheria kuna nini ?
Unataka kuijenga Tanzania ya viwanda, watu hawana maji, chakula na dawa, hawana afya wewe unajenga mji wa angani, wapi na wapi ?
MNASHANGAA NINI ?
Kwani hamjui kuwa kupanga ni kuchagua ? Kwani sisi tulipanga kweli? Hapana, leo hii mmesahau ?
Tulishakosea tokea awali, Tulikosea siku ile tulipoparaganyika kwa kushindwa kufanya maandalizi ya jemedari wetu. Wakati ulitusaliti tukafikiri kuwa yoyote anayetabasamu kuwa ni mwema, tulisahau kuwa kumbe ngoma ikivuma sana ndio hupasuka na tuliamini kuwa maneno ndio vitendo shangaeni tu.
Endeleeni kushangaa, shangaeni tu.
Ole wetu.
Iwafikie wote watu walio huru na GT pekee.
Kishada.
Si rahisi kama unavyodhani , hebu muulize Waziri wa kazi kama aliwahi hata kusuka ukili na kuuza kabla ya kuajiriwa .Na haina maana kama ulisoma halafu unasubiri kuajiriwa tu, hiyo elimu itakuwa haijakusaidia.