Hii ndio Tanzania ya Magufuli, Unashangaa nini?

Hali inatsha jamn bei ya bidhaa mtaan iko juu sana na kila siku vitu vnazdi kupanda cjui ndo kukua gan kwa uchumi uko cjawai kuona kipnd wananchi hawana amani kama kipndi hichi
Uchumi unapaa kwa mujibu wa Beno Ndulu
 
Ukina wachingiaji watoa mapovu kumtete Magufolish utajua tu wale wa buku saba. Tutasema tutaongea maana tusipoongea mawe yataongea. Kuwaziba watu midomo sio suluhisho. Kusema mtasemwa hadi kieleweke.

Kamanda leta nyingine tuwaweke hadharani.
 
Wewe inaonekana una matatizo yako binafsi! Mbona Rais Magufuli anafanya vizuri tu!! Sema tu nyinyi ndiyo, kama wewe umetoka chuoni hivi karibuni, wale wanafunzi wenye mawazo ya kuajiliwa serikalini tu na hawataki kujituma kwa kutumia elimu yao kubadili hali inayowazunguka. Kama wewe ni muajiliwa, basi nyinyi ndiyo wale mliozoea kuiba hela ya serikali na sasa mianya hiyo imezibwa, mnaishia kulalama tu! Kwa ujumla, wakati nyinyi mnamlalamikia, sisi wengine tunamuona kama ni mkombozi wa Taifa letu kwa kuwa amebadilisha mfumo wa maisha na sasa ni heshima tu, nje na ndani ya nchi. ifikapo 2020, tutampigia kura nyingi za kutosha ili aweze kuendelea hadi 2025.
Kuna kitu kichwani kwako hakika Sawa pengine?
Anatenda vzr?[emoji86]
 
Wewe inaonekana una matatizo yako binafsi! Mbona Rais Magufuli anafanya vizuri tu!! Sema tu nyinyi ndiyo, kama wewe umetoka chuoni hivi karibuni, wale wanafunzi wenye mawazo ya kuajiliwa serikalini tu na hawataki kujituma kwa kutumia elimu yao kubadili hali inayowazunguka. Kama wewe ni muajiliwa, basi nyinyi ndiyo wale mliozoea kuiba hela ya serikali na sasa mianya hiyo imezibwa, mnaishia kulalama tu! Kwa ujumla, wakati nyinyi mnamlalamikia, sisi wengine tunamuona kama ni mkombozi wa Taifa letu kwa kuwa amebadilisha mfumo wa maisha na sasa ni heshima tu, nje na ndani ya nchi. ifikapo 2020, tutampigia kura nyingi za kutosha ili aweze kuendelea hadi 2025.
Hujamuelewa mtoa mada
 
Neno, changamkeni vijana!
 
Hii ndio Tanzania yetu. Tanzania isiyokishwa kila aina ya maajabu. Na yumkini hayatakwisha kwa sababu ndio majaliwa yetu. Watu wanashangaa sana mimi nawashangaa hao wanaoshangaa hii Tanzania yetu ya awamu ya tano kwani mlitarajia nini ?

Kwamba unasema hutaki misaada ya masharti baadae unakubali imekuwaje ?

Makusanyo ya kodi yamepanda lakini utekelezaji wa bajeti za maendeleo haufiki hata asilimia 40% vipi tena . Huko halmashauri kumelalala fofofo vipi badala ya kuinuka na kuamka.

Unaunda mahakama ya mafisadi na kutumbuwa wanaoitwa mafisadi halafu mahakama inakosa mtu wa kushtakiwa punde ripoti ya CAG inaonesha ufisadi wa kutisha vipi ?

Unazuiya mikutano ya kisiasa ya hadhara halafu kutwa unatumia mikutano ya hadhara hiyo hiyo kushambuliya kila anaetofautiana nawe kimawazo vipi tena ?

Nchi ina manunguniko kila aina , badala ya kutafutwa suluhu unabeza na kudogosha mambo imekuwaje?

Tunaambiwa uchumi unakuwa kwa asilimia 7 % lakini watu wanaachishwa kazi kila kukicha kwa ukata na bei za bidhaa zinapanda kuna nini ?

Tunachagizwa kuiombea mungu Tanzania yetu na rais wetu kila siku lakini mambo yanazidi kuwa magumu kunani ?

Unaahidi utawatendea haki watanzania wote lakini mbona kuna undumi la kuwili kwenye kutenda haki.

Unaahidi kushughulika na waliofoji vyeti unachukua hatua kwa baadhi lakini wengine wanaachwa kwa nini?

Unajisabu kusimamia sheria, sheria inavunjwa nyumbani mwako unanyamaza kimya na badala ya kuwashughulikia wavunja sheria, unawalinda na kushughulikia watetezi wa sheria kuna nini ?

Unataka kuijenga Tanzania ya viwanda, watu hawana maji, chakula na dawa, hawana afya wewe unajenga mji wa angani, wapi na wapi ?

MNASHANGAA NINI ?

Kwani hamjui kuwa kupanga ni kuchagua ? Kwani sisi tulipanga kweli? Hapana, leo hii mmesahau ?

Tulishakosea tokea awali, Tulikosea siku ile tulipoparaganyika kwa kushindwa kufanya maandalizi ya jemedari wetu. Wakati ulitusaliti tukafikiri kuwa yoyote anayetabasamu kuwa ni mwema, tulisahau kuwa kumbe ngoma ikivuma sana ndio hupasuka na tuliamini kuwa maneno ndio vitendo shangaeni tu.

Endeleeni kushangaa, shangaeni tu.

Ole wetu.

Iwafikie wote watu walio huru na GT pekee.

Kishada.
Nimegonga like bahati mbaya so siihesabu. Je, unafahamu hii report ni ya kuanzia mwaka gani mpaka mwaka gani? Hii ni ya mpaka June 30 2016. Unataka kuwadanganya nini watu wewe ndugu? Tatizo mnarukiaga magari kwa mbele. Someni muelewe.
 
Msipende kupotosha watanzania. Someni muelewe. June 30 2016 serikali ilikuwa na miezi 8 tu. Ndiyo maana watu wametumbuliwa mkaanza makelele. Poleni sana. Magufuli tutamuongezea muda mpaka nchi inyooke.
 
Wewe inaonekana una matatizo yako binafsi! Mbona Rais Magufuli anafanya vizuri tu!! Sema tu nyinyi ndiyo, kama wewe umetoka chuoni hivi karibuni, wale wanafunzi wenye mawazo ya kuajiliwa serikalini tu na hawataki kujituma kwa kutumia elimu yao kubadili hali inayowazunguka. Kama wewe ni muajiliwa, basi nyinyi ndiyo wale mliozoea kuiba hela ya serikali na sasa mianya hiyo imezibwa, mnaishia kulalama tu! Kwa ujumla, wakati nyinyi mnamlalamikia, sisi wengine tunamuona kama ni mkombozi wa Taifa letu kwa kuwa amebadilisha mfumo wa maisha na sasa ni heshima tu, nje na ndani ya nchi. ifikapo 2020, tutampigia kura nyingi za kutosha ili aweze kuendelea hadi 2025.
SIO BURE UNA MATATIZO TENA MAKUBWA,YANI KAMA HUONI KWA MACHO YAKO NA HATA HUSIKII SAUTI ZA WATANZANIA WENZIO,UNAJIBU KWA KUJIAMIN KABISA WE UNA ANGALIA MBELE KWELI!!! UNAWAZA KESHO YA MWANAO KWELI?FIKIRIA TENA
 
Hongera sana mkuu. Umenena haswa. Nashangaa mkuu kila siku anasema tumwombee kwa Mungu, lakini hivi anajua Mungu ni nani na ana attributes zipi? Mungu ni mpenda Haki, Mungu ni upendo. sasa huyu jamaa anasimamia mifumo ya kuvunja haki, anapenda sana kufanya vitu vinavyowakera wengine, haoneshi upendo kabisa. anafurahi sana anapobomolea watu nyumba. anafurahi sana watu wanapoishiwa fedha mifukoni. halafu anawaita wapiga dili
BASHITEEEEE BASHITEEEE TUNATAKA VYETI HATUSAHAU HAKI ITENDEKE KWA WOTE
 
Msipende kupotosha watanzania. Someni muelewe. June 30 2016 serikali ilikuwa na miezi 8 tu. Ndiyo maana watu wametumbuliwa mkaanza makelele. Poleni sana. Magufuli tutamuongezea muda mpaka nchi inyooke.

Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Nimegonga like bahati mbaya so siihesabu. Je, unafahamu hii report ni ya kuanzia mwaka gani mpaka mwaka gani? Hii ni ya mpaka June 30 2016. Unataka kuwadanganya nini watu wewe ndugu? Tatizo mnarukiaga magari kwa mbele. Someni muelewe.

Umeona ripoti tu hayo mengine vipi ?

Vigezo na masharti kuzingatiwa. Only GT na walio huru.
 
Ukina wachingiaji watoa mapovu kumtete Magufolish utajua tu wale wa buku saba. Tutasema tutaongea maana tusipoongea mawe yataongea. Kuwaziba watu midomo sio suluhisho. Kusema mtasemwa hadi kieleweke.

Kamanda leta nyingine tuwaweke hadharani.

Tutatitirisha kila wakati utakaofaa. Kwa sasa hii inatosha.
 
Wewe inaonekana una matatizo yako binafsi! Mbona Rais Magufuli anafanya vizuri tu!! Sema tu nyinyi ndiyo, kama wewe umetoka chuoni hivi karibuni, wale wanafunzi wenye mawazo ya kuajiliwa serikalini tu na hawataki kujituma kwa kutumia elimu yao kubadili hali inayowazunguka. Kama wewe ni muajiliwa, basi nyinyi ndiyo wale mliozoea kuiba hela ya serikali na sasa mianya hiyo imezibwa, mnaishia kulalama tu! Kwa ujumla, wakati nyinyi mnamlalamikia, sisi wengine tunamuona kama ni mkombozi wa Taifa letu kwa kuwa amebadilisha mfumo wa maisha na sasa ni heshima tu, nje na ndani ya nchi. ifikapo 2020, tutampigia kura nyingi za kutosha ili aweze kuendelea hadi 2025.
Kajifunze kiswahili alafu urudi kukoment... Kuajiliwa ndo nn..
 
Kutetea uongo na kuwa mnafiki unatakiwa kuwa na phd ya chama tawala. Yaani hadi ripoti ya cag na yenyewe haiwapi mwelekeo wapi tulipo na tunakoenda
 
Back
Top Bottom