Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 601
- 269
- Thread starter
-
- #61
Imetengenezwa kwa almasi tupu na dhahabu kwa nakshi hivyo hata ikiharibika unarud kuuza kiwandani pia ipo I mara kwenye usalama na ndan inaujazo mkubwa eternal memory ni GB 112hiyo cm inakitu gani kipya mpaka iuzwe hiyo bei
Nisharekebisha mkuupiga hesabu zako vizuri,
broo, 96 millions inafika trillion????
$4.8m kwa calculation za haraka haraka inakaribia bilioni 10...hivi tumia common sense gari ya gharama duniani iwe bilioni 10 halafu simu iwe bilioni 200 ambapo ni hayo magari 20 hata uwazi wa kina????Mkuu upo nyuma ya Dunia ndio maana unabisha bila data hii gari si gari yenye thamani kubwa mpaka dakika hii gari yenye thamani kubwa soko ni ni Koenigsegg CCXR Trevista na inauzwa $4.8m na hyo ulioleta ni namba5 duniani kwa bei hii ndio topView attachment 322689
Mkuu hivi ni vitu viwili tofauti sasa kwa nn unabisha uzuri vyote vipo na taarifa zote na kampuni zipo fuatlia ujue ukweli lakin kwa nn wabisha wakati kuna wine inauzwa zaidi ya $1M kwa glass moja vipi hapo napo tena ka glass unakanywa kanaisha.$4.8m kwa calculation za haraka haraka inakaribia bilioni 10...hivi tumia common sense gari ya gharama duniani iwe bilioni 10 halafu simu iwe bilioni 200 ambapo ni hayo magari 20 hata uwazi wa kina????
Kazi ya serikali mkuu ss wa lala hoi tuna kipi cha kufanya.Diamond ikiwa ulaya ina thamani sana kuriko ikiwa shinyanga..madini ni yale yale sema tumeyatoa Bure kabisa kwa 3% harafu tunakuja kujadili gharama ni madini sio simu kama mnajua gharama ni madini kwa nini mnatoa Bure..
Google utapata.Sasa wateja wake Ni wangapi kwa mwaka?
Inunue sasa sio unaleta porojoMkuu, dola milioni 95 SIO sawa na trilioni!! Ni kama bilioni 200 tu..
Share on FacebookUongo wa mchana,huwa mnajichanganya sana vijana!