Hii ndio simu ghali zaidi duniani

sio kila kitu unachotoa mtandaoni ni kweli....wabongo shida
 
Hiyo cm haina cha zaid bali bei kubwa imeekuja kutokana na madini yalotengenezewa
 
Kwanza naomba nikurekebishe dola moja kwa sasa Tanzania maximum ni 2,200 izidishe kwa milioni 95.5 utapata 210,100,000,000 ambayo ni bilioni mia mbili na ushee....hiyo trilioni umetumia calculator gani?! Pili siamini kwasababu hata gari za dhamani duniani aina ya Bugatti, Lamborghini, Rolls Royce hayauzwi bei hiyo
 
Hii ni Bugatti mpya iliyovumbuliwa siku za karibuni...bei yake ni dola za marekani milioni 2.5 sawa na bilioni tano na ushee za bongo...kwa mantiki hiyo bei ya simu hiyo ni Bugatti 42 na chenji ya kuzisafirisha...acheni fix za kwenye mitandao aiseee
 
Attachments

  • 1455246864634.jpg
    84.7 KB · Views: 56
Nakubaliana na error of calculating
 
Mkuu upo nyuma ya Dunia ndio maana unabisha bila data hii gari si gari yenye thamani kubwa mpaka dakika hii gari yenye thamani kubwa soko ni ni Koenigsegg CCXR Trevista na inauzwa $4.8m na hyo ulioleta ni namba5 duniani kwa bei hii ndio top
Hii ni Bugatti mpya iliyovumbuliwa siku za karibuni...bei yake ni dola za marekani milioni 2.5 sawa na bilioni tano na ushee za bongo...kwa mantiki hiyo bei ya simu hiyo ni Bugatti 42 na chenji ya kuzisafirisha...acheni fix za kwenye mitandao aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…