Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

Kuna mdau amekuwekea kielelezo cha google. Suffer ina maana mbili: iliyozoeleka ni “kupata au kupitia maumivu ya mwili au mawazo”. Physical or emotional pain.

Ya pili ni: kuvumilia jambo (tolerate). Inatumika zaidi kwenye maandiko ya kiingereza ya zamani kama biblia. Inaweza kusomeka: mchawi asivumiliwe (asiachwe kuishi), auawe.

Mleta mada ajihadhari sana na kuchangamkia maandiko ya Agano la Kale ambayo mengi yalihusu kuwezesha utawala wa Wayahudi. Km neno lenyewe hasa linasema: usimuache mwanamke mchawi aishi. Je, inakuwaje kwa mwanaume mchawi?

Agano Jipya linazitambua dhambi zote lakini halimpi binadamu madaraka ya kuhukumu na kutoa uhai wa mwingine. Kumbuka Yesu alisemaje kuhusu kumuua kwa mawe mwanamke mzinzi: Yohana 8:1-11. Kila mtu anapewa nafasi ya kutubu na kusamehewa dhambi.
Okay
 
Sawa, ila kwetu huku hicho kitendo ni kama uchawi, ila kwao ni cha kawaida, cultural values zinatofautiana
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri case study watu wanaopenda Sana waganga huwa na low thinking kwenye general reasoning pili huwa na confidence fake
 
Uchawi ni negative power Ina waathiri watu ambao ni inferiority
Unachanganya ‘uchawi’ na ‘Roho ya korosho’. Uchawi ni maarifa usiyoyajua, ukiyajua tu, si uchawi bali ni maarifa. Nenda 15th century na smartphone yako halafu uanze kupiga watu picha na kuwaonyesha, watakuita mchawi na kukumaliza, ila wakija kujua watakuita Genius wa ugunduzi.
 
Back
Top Bottom