Hii ndio picha halisi ya Yesu

Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Yesu asipo aminiwa anapungukiwa nini?

Hivi huyo Yesu wako anajielewa kweli?
Anaonekana ana uhitaji mpka ana force watu wamuabudu yani kuna namna ana upungufu fulani asipo abudiwa🤔
 
Huyo kiazi ndio kachanganyikiwa kabisa nilisha mweka ignore kitambo
Setfree ana msimamo wake .yeye yupo Kama anataka kutubatiza Kwa maslahi yake Binafsi Huku akisahau kwamba watu tuko na elimu ya haya mambo Tangu Sunday school..

Trick zote za kutoa mapepo za akina gwajima,mwamposa ,kakobe ,Ben hills ,tunazijua.


Wale Wapo kutafuta ela na si kutupa elimu ya kuingia mbinguni na kumuabudu Mungu WA kweli.
 
Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Yesu asipo aminiwa anapungukiwa nini?

Hivi huyo Yesu wako anajielewa kweli?
Yesu akiaminiwa hanufaiki kwa faida ya kibinadamu kwa sababu yeye ni Mungu mkamilifu, lakini humfurahia sana mtu anapotubu na kumwamini kwa kuwa anakupenda na hataki uangamie; Yesu asipoaminiwa hapungukiwi chochote kwani utukufu wake hauathiriwi na imani ya mtu, bali ni mwanadamu anayepungukiwa kila kitu amani, msamaha, na uzima wa milele; na ndio, Yesu anajielewa kikamilifu, alijua alikotoka (mbinguni), alijua kusudi lake (kuokoa wanadamu), na alijua mwisho wake (kufufuka na kurudi kwa Baba), ndiyo maana anakuita leo kwa upendo akisema: “Njoo kwangu, ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha” (Mathayo 11:28).
 
Kama Yesu asipoaminiwa au akiaminiwa hafaidiki, hapungukiwi na wala hanufaiki na chochote, Wewe unacho hangaika kumwelezea na kumtetea hapa ni nini?
 
Aisee wadada siku hizi wanaokoka Kwa Kasi sana, Au ndo zile nyakati za mwisho zimekaribia🤔
 
Aisee wadada siku hizi wanaokoka Kwa Kasi sana, Au ndo zile nyakati za mwisho zimekaribia🤔
Wadada wanaojifanya kuokoka ni Wazinzi na Malaya wastaafu wanao ji attach kwenye nyumba za ibada kujifanya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
 
Tumaini la milele na bado dunia inakupa maswahibu ya kila aina!!!

Hayo ni matumaini uchwara tu ya kujifariji.

Ila kiuhalisia watu wanahenyeshwa na dunia.
Kuna mama mmoja huwa ananizmbiaga kristo ni dawa , mwisho wa siku ananiambia siku nikija nimjie na tramadol ya maumivu kwa ajili ya mgongo wake , huwa naishia kucheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…