Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Nakubaliana na wewe values zilikua 'distorted' na mafisadi na maharamia wa Somalia. Acha tuone JPM akihama labda kina sie tutanunua hizo maana zitashuka piga uaNdugu yangu hao watanzania unaosema wanahela ni wachache sanaaa vilevile sio wajinga kununua nyumba kwa hela hiyo maana wanajua value for money. Wana majumba yao wametulia. Hizo apartments ni bei mbaya na ikumbukwe market price unayozungumzia ilikuwa distorted na wapigaji, mafisadi, wacheza dili waliotamalaki enzi za awamu ya nne. Hivi unataka kusema apartment Kawe nj sawa na Atlanta, Georgia huko Marekani?? Anyways, hizo nyumba hazitauzika. Lazima zishuke, serikali inaenda Dodoma. Property value haina tena dili Dar. Namba wataisoma.