Mito, mabwawa, chemchem na kuyeyuka kwa barafuHivi chanzo cha maji ya ziwa huwa ni nini? kwanini hayaishi?mfano ziwa vicktoria linatoa maji mengi lakin hayaishi.
Mito, mabwawa, chemchem na kuyeyuka kwa barafuHivi chanzo cha maji ya ziwa huwa ni nini? kwanini hayaishi?mfano ziwa vicktoria linatoa maji mengi lakin hayaishi.
Yupo fwasi ya dwasiiiiiNaaam mkuu Uko fasi ya kolwezi ,Hahaha
Mto wa Nile ni mto mkubwa upande wa mashariki ya bara la Afrika. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni mto mrefu kabisa duniani kushinda mto Amazonas. Kutoka Ziwa la Viktoria mto huo umekwenda hadi mdomo wake kwenye ukajiunga na Bahari ya Mediteranea. Nile inavuka nchi za Uganda, Sudan Kusini, Sudan na Misri. Pia mto Nile unakadiriwa kuwa na urefu wa km 6,650.Sijaona Nile River hapa
Si kwa sisi Wabongo wawazaji maarufu na wapendaji mada za ngono kwa saaaaana.Mada nzuri...
Mississippi the largestThe Nile is a major north-flowing river in northeastern Africa, and is commonly regarded as the longest river in the world, though some sources cite the Amazon River as the longest. Huwezi kuitaja mito hatari ukaiacha Nile, Mississippi,
Basi sawa...Bila kutaja mto Nile na Mississippi's ambayo ndo refu kuliko yote Duniani bado hunishawishi kuamini bandiko lako.
Amesema mito hatarishi mkuuBila kutaja mto Nile na Mississippi's ambayo ndo refu kuliko yote Duniani bado hunishawishi kuamini bandiko lako.
Naomba nikusamehe bure mkuu, yaani nahisi hauja elewa then main concept ya huu uzi, pamoja na kwamba umeusoma vizuri sanaBila kutaja mto Nile na Mississippi's ambayo ndo refu kuliko yote Duniani bado hunishawishi kuamini bandiko lako.