Hii ndio mito mikubwa na hatari duniani

Hii ndio mito mikubwa na hatari duniani

Nitafutie CD yenye wimbo wa Kofii Olomide "AMUFILA MUYAYA...
Hahahaha.....
Mkuu, hii Dunia inavyo kwenda kasi na teknolojia CD tutapata wapi...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
By the way, huku nipo porini. Napishana na miamba, mitambo, mashine, mikipuko na kula kisha kuoga na kulala
Pole Sheri.....[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Asante kwa kunijuza. Ungeelewesha na viumbe wanaoishi kando ya hiyo misitu ningefurahi sana
 
Kweli mto huu unavutia sana hasa ukitazama jinsi unavyo poromoka kutoka milima ya Mitumba takriban 100 km magharibi ya Lumbumbashi, ukaja kumalikia kusini mwa bahari Atlantiki....
Hakika inapendeza.....[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Naaam mkuu
Nangali kwa ba mutu ya bhasi kitoko.... tehteehhh
Uko fasi ya kolwezi ,Hahaha
 
Kumbe ndio maana KING LEOPARD II wa Ubelgiji akikuwa anataka mto CONGO uwe chini ya himaya yake.


RIVER CONGO una matawi mawili ambayo ni KASAI na UBANGI

Haswaaa..... ambae kabla ya kuja Afrika, jicho lake la kwanza lilikuwa kuichukua Ufilipino wakati huo likiwa koloni la Hispania. Alitengeneza dili na Malkia Isabella, lakini kabla ya makubaliano kufikia mwisho, malikia Isabella alipinduliwa. Leopard alianza kuangaza macho katika bara la Afrika.
Leopold_ii_garter_knight.jpg

King Leopard
 
Back
Top Bottom