Hii ndio mito mikubwa na hatari duniani

Sijaona Nile River hapa
Mto wa Nile ni mto mkubwa upande wa mashariki ya bara la Afrika. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni mto mrefu kabisa duniani kushinda mto Amazonas. Kutoka Ziwa la Viktoria mto huo umekwenda hadi mdomo wake kwenye ukajiunga na Bahari ya Mediteranea. Nile inavuka nchi za Uganda, Sudan Kusini, Sudan na Misri. Pia mto Nile unakadiriwa kuwa na urefu wa km 6,650.

Beseni ya Nile hukusanya maji ya eneo linalojumlisha 10% za eneo la Afrika yote au km² 3,349,000. Takriban watu milioni 250 hukalia beseni hiyo.

Lakini pamoja na ukubwa wake, nimeona nisiuweke hapa kwasababu sio mto hatarishi kama nilivyo orodhesha pale mwanzo.
 
Kwanini mto amazon una kina cha 50ft usiwezekane kujenga daraja wakati, bahari kunawezekana?
 
The Nile is a major north-flowing river in northeastern Africa, and is commonly regarded as the longest river in the world, though some sources cite the Amazon River as the longest. Huwezi kuitaja mito hatari ukaiacha Nile, Mississippi,
Mississippi the largest
 
Anaconda ndani ya amazon
FB_IMG_15454784359854136.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kutaja mto Nile na Mississippi's ambayo ndo refu kuliko yote Duniani bado hunishawishi kuamini bandiko lako.
Naomba nikusamehe bure mkuu, yaani nahisi hauja elewa then main concept ya huu uzi, pamoja na kwamba umeusoma vizuri sana
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom