Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,304
- 15,022
America siku zote inaonyesha njia, ndio maana ya big brother, hawacheki na kima. Unaharibu unalipwa hapa hapa duniani, hii aibu kubwa sana kwa Trumpuu! Futa doła 6 kwa galoni eti anacheka tu, wamekula za uso na kuonyesha dunia maana ya baba wa demokrasia! Elon na mchuzi wake watu wamekula na kuchinja vilevile! Affordability imeua
Mungu wabariki wazungu, Ted Cruz bado yupo though na ule muswada wake watu kudisciplne shithole moja kule uswekeni hope wataanza nayo….
Time will telll
Mungu wabariki wazungu, Ted Cruz bado yupo though na ule muswada wake watu kudisciplne shithole moja kule uswekeni hope wataanza nayo….
Time will telll
