Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,262
- 50,077
Huko huko walipo itawafikia na watapata wanachostahili..... inawezekana sisi hatuwajui ila 'karma' inawafahamu.Vipi kuhusu Karma ya wasiojulikana kumpoteza Ben Saa Nane ?
Huko huko walipo itawafikia na watapata wanachostahili..... inawezekana sisi hatuwajui ila 'karma' inawafahamu.Vipi kuhusu Karma ya wasiojulikana kumpoteza Ben Saa Nane ?
Kamsome Magamba matatu kwenye uzi wake wa juzi tu!!Anaweza akawa hata mwinyi junior!!!jiwe yuko wapi hadi sasa??Hizi ni ndoto, amka utajikojolea kitandani.
Mama mitano tena mpaka 2030.