2.Hatufaiiiii.
3.Kama amekaa Marekani muda mrefu akili zake zitakuwa kama za Le Mutuzz.. Ikulu kutajaa mabebz..You know...
4.Huyu mahiga hafai na hawezi kuwa president wa nchi Hi sana sana anapoteza muda wake.
hajui chochote kuhusu hali halisi ya tz, alafu hao watoto wa obay na masaki washapitwa sahv hakuna kuogopana sjui huyu mtoto wa masaki wala huyu wa obay.
5.All I know hatufai, hachakuliki hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 let alone kuwa rais wa watu milioni 50 na hatumtaki
nashauri aende akacheze GOLF na walevi wenzake pale Kawe.
Wapendwa mbona mnapanick? Hivi ikitokea akapatikana Kiongozi mzuri si wote tutafaidika? Msianze mapema kuwakashifu watu. Wapeni nafasi wapimwe tuone nani ni nani. Kwa wakati huu nawaambieni Nchi inahitaji mgombea msafi sana, Kama posho kuleni lakini isaidieni nchi ipate Kiongozi atakayefaa bila kujali atatoka wapi, kama yuko CCM apewe, kama ni UKAWA Apate, lakini kigezo kiwe weledi na usafi, mtu amabaye ataweza kuitoa nchi kwenye ufisadi atatusaidiaHivi uko vijijin wanajua Mahiga ni mtu gani?
1.
2.
3.
4.
5.
Wapendwa mbona mnapanick? Hivi ikitokea akapatikana Kiongozi mzuri si wote tutafaidika? Msianze mapema kuwakashifu watu. Wapeni nafasi wapimwe tuone nani ni nani. Kwa wakati huu nawaambieni Nchi inahitaji mgombea msafi sana, Kama posho kuleni lakini isaidieni nchi ipate Kiongozi atakayefaa bila kujali atatoka wapi, kama yuko CCM apewe, kama ni UKAWA Apate, lakini kigezo kiwe weledi na usafi, mtu amabaye ataweza kuitoa nchi kwenye ufisadi atatusaidia
Tazama video za hao watoto wake kisha utaelewa namaanisha nini.
Basi hata wewe hau qualify kutueleza chochote kuhusu lolote manake na wewe unayajua hayo maduka ya Bergdorf Goodman na bei zao za tai, ni wale wale. Again, kama hicho ndio kigezo cha qualification ya lolote. By the way, Mbene sio mke wake, kajipange tena na data zako.
Narudia POSH BOY MAHIGA hatufai.
1.
2.
3.
4.
5.
Wapendwa mbona mnapanick? Hivi ikitokea akapatikana Kiongozi mzuri si wote tutafaidika? Msianze mapema kuwakashifu watu. Wapeni nafasi wapimwe tuone nani ni nani. Kwa wakati huu nawaambieni Nchi inahitaji mgombea msafi sana, Kama posho kuleni lakini isaidieni nchi ipate Kiongozi atakayefaa bila kujali atatoka wapi, kama yuko CCM apewe, kama ni UKAWA Apate, lakini kigezo kiwe weledi na usafi, mtu amabaye ataweza kuitoa nchi kwenye ufisadi atatusaidia
woote mnaojifanya mnanjua dr mahiga mmezaliwa awamu ya tatu ya utawala.
Mahiga anaijua vizuri kuliko nyinyi tanzania africa na nchi za marekani ulaya.
Hivi unamjua mtu x kwenye kesi ya uhaini
Anayegombea urais ni Mahiga au watoto wake?Tazama video za hao watoto wake kisha utaelewa namaanisha nini.
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi
Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....
Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).
Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri), mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.
Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of Newyork kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga
Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua)
Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.
Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani ( naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)
Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watazanaia waliopo on the ground
Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa ligi kuu mwaka jana sidhani kama anajua.
Ila ingekuwa yule binti yake mlokole ( MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.
Kma ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.
Tazama Video za Watoto wake.
![]()
mkewe (Janeth Mbene)
Nasema hivi
Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.
Anayegombea urais ni Mahiga au watoto wake?
malizia kwa kutuambia nani anafaa kuwa rais wa hii inchi. vinginevyo ni porojo tu
Kuna watu nawasubiria kwa hamu Sana 2016 wkaianza kulalamikia serikali,Mara baada ya kuchagua hovyo.wataniona mbaya humu ndani.
2005 baada ya kushibishwa na hongo za wana mtandao walikuwa bize kumtukana Dr.Salim,waliposhinda wakamuangukia awe beacon YAO ya uhusiano na china.ambayo in fact ndio ime bank roll serikali yetu kwa miaka 10 iliyopita.kwa sampuli za mleta madam MTU kama mahiga hafai kuwa raising wake,he deserves the type kama lowassa hivi au wasira.waongo waongo wadi na vision wala weledi sahihi.wakichaguliwa waliokuwepo wanalalamika ndio haohao miaka nenda rudi,wakiletewa walio nje ya serikali wenye uwezo sahihi wanaanza vioja.
Sasa MTU kaishi nje miaka 30 unataka Watoto wake wasome wapi?wewe unayeishi dar watoto wako wanasoma kijijini kwenu ulikozaliwa?
Hawa Watoto ndio wataongoza nchi?
Kazi tunayo watanzania.toendelee kuchagua hovyo halafu tuje kulalamika hovyo.